Mshikaji amesema kwamba hauiitaji elimu ya chuo kikuu kuwa programmer ndo namsahihisha kwamba you need one if you want to become the real professional.
Mzee ungekuwa ni computer scientist ungenielewa. Website development inajumuiasha utumiaji wa vitu kama wa technologies kama javascript, server side scripting kama za php ,asp,perl, java servlets, java beans, C hash, vb.net na kadhalika. Sasa wewe hiyo development unayoingelea ni ya simple html au? kwenye dunia ya sasa hivi tunaongelea dynamic websites na database driven web sites. kwa hiyo tunaona knowledge ya programming ilivyo na umuhimu mkubwa. lakini kujua tu programming haitoshi inatakiwa uwe na knowledge pia ya kuweza kufanyia analysis algorithms zako. Hiyo ndo hoja yangu. Huwezi kupata elimu hiyo kiujanja ujanja tu kama mshikaji anvyodai na ndo the way navyothink nikiwa kama computer scientist.
Consider the following scenario kwamba una develop a database driven website. Sasa katika kufanay query kwenye database kuna staili tofauti ambazo kila programmer anaweza kuzitumia katika kuandika query yake. As a computer scientist mimi nachowaza ni optimatization. Nitaandika query in a such a way that database server itafanya a minimum amout of work katika kuzichota tuples kama natumia RDBMS. kuna query zinakuwa zinafanya hata kazi isiyohitajika na hiuvyo kupoteza resources zinazohitajika na server processes zingine. resources ambazo zinapotezwa na user mmoja zinaweza zisiwe na effect ila watapofikia user milioni moja effect itakuwepo. Sasa elimu kama hii mzee huwa inapatikana tuu kwa form four leaver.? tusijidanganye. Wapo watu wengi kwenye it mpaka watu wanashindwa tofautisha nani professional na nani kanjanja. Huwezi ukamfananisha graduate wa computer na jamaa anayefanya trouble shooting au kufanya installation ya windows au anajua kuandika kodi kidogo tu basi.
Labda naongea vitu in abstract way itakuwa ngumu kunielewa nasema nini