FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Video ni hii hapo chini, kama una muda wakutosha na una bando na lugha ya malkia haikupigi chenga, basi itazame.
Siku zijazo, taarifa zako zote binafsi na za kibenki zitatunzwa humo, na manunuzi pia unaweza ukayafanya kwa kutumia kifaa hicho kama ATM kadi yako. Kutumia pesa cash kufanya manunuzi litakuwa ni jambo litakalokuwa historia.
=================================
Ona neural link inavyofanya kazi kwa kutumia technique ya ‘Calibration’