Never date a girl who can't respect your wife

Mwanaume mwenye mke/wake tusiwe na huu ushamba.

Kama umejisikia kuzini, tumia hata milioni kama ipo kulala na mwanamke unayemtaka, ukimaliza usitake kujua habari zake, mlipe aondoke zake.

Date na mkeo au wake zako, hao wengine kama unahitaji lipa ujiridhishe kisha achana nao. Kudate? Na una familia?
 
Siulizi Bei mkuu kunywa JOBO 4 nitalipa
 
Wakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako.

Naomba kuwasilisha

Hakuna mwanaume anayemheshimu mkewe alafu a-date na Mwanamke mwingine nje.
Kama humheshimu mkeo kwani huyo unaye-date naye amheshimu?

Hana sababu hata moja ya kumheshimu mkeo ikiwa wewe unayestahili kumheshimu haumheshimu
 
Mwanaume mwenye mke/wake tusiwe na huu ushamba.

Kama umejisikia kuzini, tumia hata milioni kama ipo kulala na mwanamke unayemtaka, ukimaliza usitake kujua habari zake, mlipe aondoke zake.

Date na mkeo au wake zako, hao wengine kama unahitaji lipa ujiridhishe kisha achana nao. Kudate? Na una familia?
Point kubwa kabsa
 
Ukisoma comments za wananzengo unaweza kudhani wewe ni mtu mchafu sana kwa ku date nje ya ndoa kwa jinsi wananzengo walivyo waaminifu kweli kwenye ndoa zao 😂😂😂
 
Back
Top Bottom