Never Knew...

Jana wakati naenda home nikapita ile barabara ya JJ nikakutana na yule eliza wa pale akawa analalamika kuwa tumehamishia kikao sehemu nyingine nini mbona watu hatuonekani nikasema mamaaa weeee

Tatizo wewe hundokagi....:thinking::thinking::thinking:
Hivi hii siku ilihusisha kuandama kwa mwezi au watani wetu wameamua kutushtukiza?

Huna koneksheni kwa hawa washikaji ili waipeleke hii kitu ijumaa???
 
Yaani na we Acid umeingia kundini?...............naichemsha jikoni dawa yenu

Waone vile

Halafuuuu......hii thread ilikuwa juu ya never knew how comes mmiigeuza nyumba ya ibada??:A S angry::A S angry::A S angry:
 
:doh::doh::doh::doh::doh:....poor me....i thought a smile is never visible....my apology...

una visa wewe.... may God forgive u one day when u realize that u cudnt put ur thoughts right...
 
una visa wewe.... may God forgive u one day when u realize that u cudnt put ur thoughts right...

That I know....i just know....u forgiven a st.?.....unajua kesho sikukuu, sitaki nile nyama ya ngamia nikiwa na dhambi..
 
Yaani na we Acid umeingia kundini?...............naichemsha jikoni dawa yenu

Waone vile

Halafuuuu......hii thread ilikuwa juu ya never knew how comes mmiigeuza nyumba ya ibada??:A S angry::A S angry::A S angry:
sory kamanda, actually when you never know, ibada is the best and the constant companion... BACK TO THE TOPIC

How do you feel today? did you see those stars?
... as you lay down counting you blessings?
was the shepherd there for you when you closed you eyes?
what a nice dram you had... can you share?

Never knew.... surely never knew
 
Kamanda nimecheki Location yako hapo nimeona Tanganyika Masagati....nimekumbuka mbaali sana....kweli Tz kubwa!!
 
That I know....i just know....u forgiven a st.?.....unajua kesho sikukuu, sitaki nile nyama ya ngamia nikiwa na dhambi..

oh u are well forgiven... its the least i could do to a saint as dear as u are... dah babu hapa hasomi miwani ameacha dom...eti eeh?
 
Would I be ungrateful, if I curse today
would I be a fool, to wish that I could die
Would I be more wishful, to wish I be with you where you are today?

Never knew, surely never knew, I would be such a fool
 
oh u are well forgiven... its the least i could do to a saint as dear as u are... dah babu hapa hasomi miwani ameacha dom...eti eeh?

Thank yo.....karibu king'ong'a tunachinja ngamia......(babu kasinzia ondoa shaka)
 
Kamanda nimecheki Location yako hapo nimeona Tanganyika Masagati....nimekumbuka mbaali sana....kweli Tz kubwa!!
hahahaaaa. mkuu usiombe... sasa kasheshe utumwe kwenda kitulo kupitia hiyo njia, lazima ukae kwanza na kuanza kusali
 
Would I be ungrateful, if I curse today
would I be a fool, to wish that I could die
Would I be more wishful, to wish I be with you where you are today?

Never knew, surely never knew, I would be such a fool

dah... MJ1 wewe ni malenga wetu aisee.. I am sure Invisible atatoa award ya lyrical masters!!!

Kawinter ni balaa... sijui mijitu huku inapapendea nini?
 
hahahaaaa. mkuu usiombe... sasa kasheshe utumwe kwenda kitulo kupitia hiyo njia, lazima ukae kwanza na kuanza kusali
Mi hua napaita kule ni "forgotten Land" kuna lile Daraja moja Mwinyi alikuja lifungua kweny 94 ivi....c unajua tena wakajenga Choo karibkaribu ili kiranja kama atahitaji atumie...choo kizuri hicho....juzi juzi hapa nimepita nikakuta kile choo kimekua ofisi ya kijiji acha tu hiyo ndo Tanganyika Masagati.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaa..... hahaaaa... ofisi ya kijiji ******

I miss those days wakati tunaenda field aisee!!! tulikua tunanunua kuku vijijini na kupika kwa mama ntilie, kwweli you have made my day

Ngoja nitafute sababu ya kupita tena huko sijui kumekuaje aisee... hivi wale wamishenari bado wanasaidia sana (mobile clinics) au nao wamechoka?
 
Bado wapo kwani wanajamii wanawahitaji sana na ile ofisi ya kijiji ilibomoka ndio wameanza kujenga sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…