never lose your phone again

never lose your phone again

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346
wadau kuna software hii ya mobile phone inaitwa wave secure nimeona nisifaidi pekeyangu, hii kitu inaweza ikafanikisha kupatikana kwa simu yako kwa muda mfupi.
 
Iko wapi na inapatikana vipi sababu hakuna kitu ulichoonyesha hapa
 
Wave sequre (old) sio progrm nzuri, sababu ina lock simu so nirahisi mtu ku falash simu. Zipo progrm za maana zaidi kuliko hiyo!
 
Back
Top Bottom