theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Next time ukihisi kupanda usafiri flani ni hatari but lazima upande fanya kupiga picha plate no. then mtumie mtu wa muhimu as unapanda hilo!. Halafu jitose ndani yake!.
Next time panda gari la magazeti, hutabakwa 😀
Uepukana na magari, ndege, pikipiki Hukupaswa kuzaliwa kizazi hiki wewe ni wa kuzaliwa miaka ya B.C huko upande farasi na kutembea kwa ngondi[emoji23][emoji23][emoji23]
Zama hizi usafiri pekee utakufaa tafuta ungo tu ndugu yangu uwe unapaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana white...
Mr alikuambia ukweli, giza lingeingia tu mikono ya hao jamaa ingeteleza vya kutosha katika maungo yako..
Ulifanya maamuzi sahihi kushuka...
Nikiwa nasafiri huwa sipandi luxury buses napenda zile bus ambazo nawahi fika, ajari ni matokeo tu. Naweza panda Luxury nikashuka nikagongwa na boda.Sikufanya hata kimoja. Ingetokea hata nikafanyiwa kitu hamna mtu angejua nani kafanya.
Nimejifunza sema.
Gari ya magazeti ndo naogopa kabisa. Siku hizi naona usafiri safe ni mabus ya abiria sababu hayakimbii hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Awali ya yote mimi ni muoga wa vyombo vya usafiri (ndege, bus na pikipiki).
Nilivyokua nikisoma zile habari za magari ya magazeti au malorry nilikua nashangaa mtu anapata emergency gani ya kupanda hayo mausafiri.
Leo sasa yamenigeukia. Nimefika Singida saa mbili kasoro bus tulilopanda wakaleta ubabaifu hivyo ikabidi watutafutie usafiri mwingine na hapo mwanamke niko peke yangu na wanaume watatu.
Mara yakaja haya malorry marefu ya mizigo halafu kuna nafasi mbili tu moja nikapanda mimi nyingine akapanda mkaka anaenda Dar.
Nilivyoingia kwenye lile gari moyoni nikawa najisemea never say never. Kweli mimi leo ni wa kupanda haya madude? Hapo umamaduu wote nimeweka pembeni nawaza nifike Dom tu nikalale.
Kwa uoga nikaanza kusweat viganjani. Nikaanza kukumbuka yanavyoangukaga na kuua. Nikaanza kumuwaza mwanangu. Nikawa nasali tu salamu Maria. Nikampigia simu bby nimueleze usafiri niliopanda. Akanitisha vya kutosha oooh wanaweza kukubaka Mara wakuchinje usiku huu bora ushuke utafute sehemu ulale uendelee na safari kesho. Kama Mungu hatukua mbali na mji nikawaomba wasimamishe gari nikashuka.
Hapa nipo kwenye guest house vumbi kama lote. Najua asubuhi nitaamka na mafua ya kutosha ila bora nitapanda bus mchana nikiwa na amani.
Never say never sababu mimi sikutegemea ipo siku nitapanda lorry japo nimeshindwa kuvumilia kumaliza safari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungo ungekua unatumika nimepanda. Magari naogopaga yakiwa speed tu ila kama ni road trip huwa napiga vyombo kidogo nasali uoga unaisha. Ndege ndo uwiiiii. Siku ya kusafiri masaa matano itabidi niingie kwenye ndege nimezima
Sent using Jamii Forums mobile app
Bus nikipanda huwa ni luxury. Kwa mimi sinaga haraka bora nichelewe ninapoenda ila nijione niko salama.Nikiwa nasafiri huwa sipandi luxury buses napenda zile bus ambazo nawahi fika, ajari ni matokeo tu. Naweza panda Luxury nikashuka nikagongwa na boda.
Safari za mikoa nikiwa nimechelewa napanda sana ITs, hayo magari ya magazeti nasikia tu yanakimbia balaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Muache shemeji ako anajali mscheewwwHuyo baby wako nae fala tu....mtoto wa mama! nimem-maindi kichizi. Mwanaume gani anatoa maushauri ya kifenenge aisee. Mwanaume ni kutia moyo, kumfanya mtu wako ajisikie AMANI hata kama yupo kwenye tanuru la simba.
Nusu kaputi itanifaa kweli. Nikiingia tu nachomwa twaaap safari inakua rahisiSiku ya kupanda ndege tunakupiga nusu kaputi kwanza.. [emoji23][emoji23]
Hapo kwenye ungo sijakuelewa umepanda au ungepanda? [emoji23][emoji23]
Si vyema kusafiri huku umepiga vgombo ndugu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Muache shemeji ako anajali mscheewww
Sent using Jamii Forums mobile app
Me ile hali ya kukaa unajigeuza huwa nateseka naona bora kuwahi tu!..Bus nikipanda huwa ni luxury. Kwa mimi sinaga haraka bora nichelewe ninapoenda ila nijione niko salama.
Bus ilimradi bus ujue lazima nimwambie konda wapunguze mwendo. Gari ikiwa speed napataga shida nyingi sana. Kwanza nitaumwa tumbo. Nitasweat. Mapigo ya moyo yatabadilika. Sitakua na amani kabisa. Sasa yote ya nini hayo wakati mabus mazuri yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Me ile hali ya kukaa unajigeuza huwa nateseka naona bora kuwahi tu!..
Hata mjini napigwa sana mikono na wale jamaa kwa kutanua barabarani!😎
Sie wengine wasafiri kafiri safari zetu nyingi za ghafla na za usiku,mi nkipanda malori ndio nainjoi zaidi safari kuliko kupanda bus,nishasafiri na mtumbwi mara kibao na nakuwa comfortable ile mbaya,alafu ajali ama kufa kupo tu hakukwepeki hata ufanyeje,ikifika siku yako ya kufa ama kudhurika utadhurika tu hata kama uko chumbani,so haina haja ya kuogopa.
Jamaa yako mwoga sana ndo kakuchelewesha safari,mboa tunasafiri sana na wanawake kwenye malori na wanafika salama salmini waendako,hakuna kubakana wala kuuwana,huyo jamaa siku mkivamiwa atakuwa wa kwanza kukimbia akuache .
Sent using Jamii Forums mobile app