Never Say Never

Never Say Never

Dereva alipaki gari sheli tulale kusudi tu!akajifanya kachoka nimekoma Mimi! Sitaki tenaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sheli ni sehemu salama!!! Sasa wewe wasi wasi wako ulikuwa nn labda angepaki porini kidogo ndo ungeshtuka. Tena huyo alikuwa na roho nzuri inabidi ushukuru, maana wengine huwa wanayapaki porini na kunakuwa hakuna msaada
 
Back
Top Bottom