Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kitimoto je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakusimulia leo maneno ya k ucheke kila nikiyakumbuka au nikikuona sina mbavu
Halaf huyo nabii bushiri ndio umenichekesha zaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan alituacha hoiA kanihadithia asubuhi anacheka hatari. Anasema alikua analalamika mh. K hadi wote tukaww tunacheka na Ile sauti yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim juz nilivyopata zile taarifa nilichanganyikiwa nikataka kwenda kupanda hata hilo lori..lakin sikuyapata,ila nikaambulia costa ya magazeti
Endelea kudadavua mkuu!!! Ilkuwaje mpaka ukataka uliwe sasaNilipata dharura nikajikuta I need to travel hapo saa mmoja jioni mpk asubuhi niwe mkoa mkwee gari za magazeti hapana kabisaa hata kwa winchi sendi basi option Lori hyo chupi chupu niliwe bureeee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva alipaki gari sheli tulale kusudi tu!akajifanya kachoka nimekoma Mimi! Sitaki tenaaaaaEndelea kudadavua mkuu!!! Ilkuwaje mpaka ukataka uliwe sasa
Nilipata dharura nikajikuta I need to travel hapo saa mmoja jioni mpk asubuhi niwe mkoa mkwee gari za magazeti hapana kabisaa hata kwa winchi sendi basi option Lori hyo chupi chupu niliwe bureeee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko nakufatilia mm nataka kujua uliliwa au haujaliwaDereva alipaki gari sheli tulale kusudi tu!akajifanya kachoka nimekoma Mimi! Sitaki tenaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko nakufatilia mm nataka kujua uliliwa au haujaliwa
Dada ebu endelea na story ujue niko najifunza hapa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umbea umeanza lini!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sheli ni sehemu salama!!! Sasa wewe wasi wasi wako ulikuwa nn labda angepaki porini kidogo ndo ungeshtuka. Tena huyo alikuwa na roho nzuri inabidi ushukuru, maana wengine huwa wanayapaki porini na kunakuwa hakuna msaadaDereva alipaki gari sheli tulale kusudi tu!akajifanya kachoka nimekoma Mimi! Sitaki tenaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata dharura nikajikuta I need to travel hapo saa mmoja jioni mpk asubuhi niwe mkoa mkwee gari za magazeti hapana kabisaa hata kwa winchi sendi basi option Lori hyo chupi chupu niliwe bureeee!
Sent using Jamii Forums mobile app