Hahahaha, nimekumbuka kwa mara ya kwanza napaa na Ethiopian nilisema leo nakufa hivi najiona maana si kwa mruko ule...
Hahahaha, nimekumbuka kwa mara ya kwanza napaa na Ethiopian nilisema leo nakufa hivi najiona maana si kwa mruko ule...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ww ndio mzigua uliekua umevaa suruali ya jeans ukashukia pale ikungi! Dah! Hongera Mzigua umejahliwa mswambwanda, wallahi kwenye lile Lori usingesalimika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu acha fixKumbe ww ndio mzigua uliekua umevaa suruali ya jeans ukashukia pale ikungi! Dah! Hongera Mzigua umejahliwa mswambwanda, wallahi kwenye lile Lori usingesalimika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nacheka tu chezea wine na whisky wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
Nacheka tu chezea wine na whisky wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo baby uliyempigia simu ni nani? Sikumbuki kupokea simu yako
Huyo baby uliyempigia simu ni nani? Sikumbuki kupokea simu yako
Kweli aliesema jf pia wapo Totoz wa nguvu ajakosea kbsa, hizi Avatar zinaficha mengi wapo mademu humu wakiweka picha zao halisi wanaume watapishana pm kama malori ya mchanga!, Mzigua hongera Dada yangu wa chumbageni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu acha fix
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aliesema jf pia wapo Totoz wa nguvu ajakosea kbsa, hizi Avatar zinaficha mengi wapo mademu humu wakiweka picha zao halisi wanaume watapishana pm kama malori ya mchanga!, Mzigua hongera Dada yangu wa chumbageni.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watalipata lori lakini ushabakwa/porwa/kufaHata likitokea tatizo watamtafuta baadae dereva wake!.. Kuliko kuja sema lori fulani ulipanda bila details.
Nitakusimulia leo maneno ya k ucheke kila nikiyakumbuka au nikikuona sina mbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wale wapuuzi kina A wananiita wine sasa hivi. Sema zile wine za pale ziko strong na Yule mseminary akataka kunihost vizuri pacha wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mjeda ndo ana niniHawezi kuniacha tukivamiwa bwana. Ni mjeda ila vitu ambavyo anajua hawezi kunisaidia kwa ukaribu huwa ananiambia bora niviepuke
Sent using Jamii Forums mobile app