Coaster hizo ndo mbaya bora lorry aiseeMim juz nilivyopata zile taarifa nilichanganyikiwa nikataka kwenda kupanda hata hilo lori..lakin sikuyapata,ila nikaambulia costa ya magazeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva alipaki gari sheli tulale kusudi tu!akajifanya kachoka nimekoma Mimi! Sitaki tenaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko nakufatilia mm nataka kujua uliliwa au haujaliwa
Jamani niko kwenye kujifunza ujue nipo mbeya nahisi usiku huu nitaondoka na lori ili nijiandae kama kuna kuliwa nijue nitaliwa au vipi ndio mana nataka aendelee na story tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umbea unakusaidia nini wewe??
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuja kulala na Mimi kitandani akaanza kujifanya km vile kakosea mkono shenzi yule niliwazaaa nkasema huyu ngoja nkawa nimeuchunaa kimyaa hee naona akazidi nkatumia hekma naomba nkakojoe akaniruhusu kosa kubwa alifanyaa nkaenda kwa walinzi wa shell nkawaambia ndani joto wakaniruhusu nilale pale kwao saa alinunaaa mbwa yule nilivyorudi alfajir baada ya kushtuliwaMbona sheli ni sehemu salama!!! Sasa wewe wasi wasi wako ulikuwa nn labda angepaki porini kidogo ndo ungeshtuka. Tena huyo alikuwa na roho nzuri inabidi ushukuru, maana wengine huwa wanayapaki porini na kunakuwa hakuna msaada
Kwahiyo haujaliwa na story imeishia hapo sasa mm ninayepanda lori leo usiku unanishauri vipiii [emoji134][emoji134]Alikuja kulala na Mimi kitandani akaanza kujifanya km vile kakosea mkono shenzi yule niliwazaaa nkasema huyu ngoja nkawa nimeuchunaa kimyaa hee naona akazidi nkatumia hekma naomba nkakojoe akaniruhusu kosa kubwa alifanyaa nkaenda kwa walinzi wa shell nkawaambia ndani joto wakaniruhusu nilale pale kwao saa alinunaaa mbwa yule nilivyorudi alfajir baada ya kushtuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Very interesting!!! uliuchunia ule mkono kwa mda wa dakika ngapi mkuu???ila wewe mtu pouwa sana umenifurahisha apo tu ulivyosema ulimchunia kidogo""Alikuja kulala na Mimi kitandani akaanza kujifanya km vile kakosea mkono shenzi yule niliwazaaa nkasema huyu ngoja nkawa nimeuchunaa kimyaa hee naona akazidi nkatumia hekma naomba nkakojoe akaniruhusu kosa kubwa alifanyaa nkaenda kwa walinzi wa shell nkawaambia ndani joto wakaniruhusu nilale pale kwao saa alinunaaa mbwa yule nilivyorudi alfajir baada ya kushtuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!unaenda wapi!!!Kwahiyo haujaliwa na story imeishia hapo sasa mm ninayepanda lori leo usiku unanishauri vipiii [emoji134][emoji134]
Nilikua nna shida na safari nkatumia hekma nilitakiwa nifike haraka sana sikutaka kupandisha hasira nishushwe poriniVery interesting!!! uliuchunia ule mkono kwa mda wa dakika ngapi mkuu???ila wewe mtu pouwa sana umenifurahisha apo tu ulivyosema ulimchunia kidogo""
Hakika naamini alinuna safari nzima!!! Lori si salama kwa watoto wa kike maana ukishapanda tu jamaa anahesabia nishapata chakula ya baadae. Siku ingine usithubutu.Nilikua nna shida na safari nkatumia hekma nilitakiwa nifike haraka sana sikutaka kupandisha hasira nishushwe porini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika naamini alinuna safari nzima!!! Lori si salama kwa watoto wa kike maana ukishapanda tu jamaa anahesabia nishapata chakula ya baadae. Siku ingine usithubutu.
hahaha kwaiyo porini ungempatia bila ubishi mkuu!!!Mpk nashuka kachukia alikua na utingo wake akichelewa may be kushuka mzani anamkaripia nkasema mwehu huyu anamaliza hasira zake usafiri wa Lori mi hapana kwa kweli sina hamu tena!waweza hata kufa angesimamisha porini ningeliwa siku ile hakika tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaataaje niliwe na simbaa!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!kuna mazingira magumu mnooo kuchomoa pale sheli hata kelele napiga!!hahaha kwaiyo porini ungempatia bila ubishi mkuu!!!
Natoka mbeya nataka kurudi dar
Kwahiyo hutaki kunishauri kuhusu lori haya ngoja nijipandie kama nitaliwa sawa namwachia Mungu tu
We panda tu uone [emoji3][emoji3]uniletee mrejesho kesho jioni!!!Kwahiyo hutaki kunishauri kuhusu lori haya ngoja nijipandie kama nitaliwa sawa namwachia Mungu tu
Jiongeze hata kidogo basi!..Watalipata lori lakini ushabakwa/porwa/kufa