Neverland Ranch (makazi ya Michael Jackson)

ndio hivyo mkuu,na ubaya wa wenzetu wanapenda maisha private sana.

so unaweza tokea chanika mpaka tazara ni mapoli yana nyimba tano tu za watu maarufu.tokea msanii anaposhi mpaka uukute mji wa watu wengi ni kasafari rasmi kabisa.
Umenikumbusha marehemu ginimbi


Ila kuna clip niliiona ya yusuph bakhresa nayeye anajenga dude la ukubwa kama wa ginimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…