Neville na Carragher wasema Ronaldo amejimaliza Kisoka kwenda Saudi Arabia

Kinachowauma malegend wengi ni kwamba wamepigwa pesa mbali na watu 2
Walitegemea Cr akaombe kazi ya uchambuzi
 
La msingi pesa we bilion 41 kwa mwezi si mchezo na ndiye atakuwa mwanamichezo mwenye kulipwa pesa ndefu
 
Yaani mtu anaenda kupokea 41B kwa mwezi tena kwenye Soka ambalo halina stress, mnasema anaenda kupotea?

Kwa umri alionao hawezi ku perfom tena soka la Ushindani mkali la Ulaya na akafanya maajabu, wacha akapumzike sasa.
Saudi Arabia ndo pa kuvuna pesa
 
Ronaldo anajiandaa kustaafu hata mimi nilisha mtabiria kustaafia Uarabuni au China akikosa hizo mbili angeenda Marekani kwani huko ndio kutampa hela ya kutosha
Hao wengine wanaongelea kutafuta sifa ambazo anazo tayri; wakati mwenzao anawazia kustaafu na kuekeza kwenye Biashara nyingine hivyo mshiko ndio kila kitu
 
Lakini manufaa wananchi wanayaona. Huko bara Kodi kubwa 18% halafu anafaidi kibajaj
Kabisa mguu sisi tunapgwa 18% halafu tunapigwa tozo halafu maendeleo 0 na yaliyopo ni ya mikopo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio mibaba ni miropokaji mno, hawajawai msema kwa zuri lolote, yaani ukifatilia mahojiano yao juu ya ronaldo waga ni kumponda tu.


Hata angeenda Astonvilla wangemsema tu

Money is what matter , wana wivu hao wababa
 
Tumewaachia maligi yenu haya tuone sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wachezaji wote ikianza kufika jioni wana-cash in the last squeeze, hao Neville na Carragher walicheza mpaka wakiwa na miaka mingapi ?

Vunja mifupa wakati meno bado ipo........, ni kwamba angeweza kwenda USA ila Big money zipo huko, Angebakia United anakaa mkeka kwa pesa ndogo si bora aende anakocheza mara zote na pesa nyingi huenda na Sponsorship deals zikaendelea ukizingatia Asia ni soko kubwa....

Hata Pele alikwenda USA kutangaza Soka na ku-cash in..., whats next aanze kuangalia either managerial career au punditry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…