Neville na Carragher wasema Ronaldo amejimaliza Kisoka kwenda Saudi Arabia

Unafkiri zile tuzo kutoka Uarabuni zinatoka bure ule ulikuwa mtego TU. Unapewa zawadi Mwisho wa siku wataomba mchango wako.

Aveiro akapumzike Mana Neville na wenzie wanafki vibaya Sana.
 
Pesa ndo sabuni ya roho.
 
tangu kusambaa kwa video yake akiweka soda za Coca-Cola pmben nilihisi tu hafik mbali
 
Hata Messi nae inabidi aende huko uarabuni akakusanye Mafao
Messi Bado yupo kwny ubora wake, Bado ana mengi ya kuyafanya zaidi ulaya japo pia kashafanya Kila kitu, kiwango kitapoanza kuporomoka kama mwenzie naye itatakiwa aende tu akakusanye mpunga uarabuni
 
Angelienda USA wangelifurahia. wivu wa kibaguzi unawatesa sana hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…