Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
- Thread starter
- #41
<br />Kwa wanafunz wanaotumia muhtasari mpya wa 2009,mim nawashauri muwe mnaingia intaneti hakuna kinachokosekana,kama upo mjini au mahali unapo access intanet baaas nenda kaangalie kuna mambo meeeng,,,,,,hasa kwa paper 2,mim ni mwalimu wa HISTORY 1&2,huwa naandaa notes kwa msaada mkubwa wa notes za mtandanon,ni member wa many Online LIBRARIES,,,,,kuna resources nyingi sana na useful,kuna pictures ambazo zinaadd credibility,,,,,,, UTUMIEN UTANDAWAZ,jaribu kumuomba syllabus mwalim wako utoe copy,,,,,ile format ina xamination content tu
<br />
Ahsante nitafanya ivyo tena kwa haraka.