Kwa wazee anayo matumaini, lakini kwa Mzee Rukhsa Benzi yenye thamani ya zaidi ya milioni 400. Hizo Tshs 400 M zingelipa wazee Tshs 8, 0000/= kwa mwezi kwa mwaka mzima kwa wazee 4MILL.
Kinachokosekana ni utashi wa kisiasa kuwahudumia wazee siyo khali ya uchumi.