Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Kombinenga! Kombinesheni Saudi! Mani Wota! Mani Maji! Aluwatani Twenti Pasenti🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imeshindikana Congo. Ondoa PM wa Magufuli. Ondoa Dotto Biteko, Ondoa Medard Kalemani. Afu leta wapya ktk Profession zao bobezi.OUR CONSIDERED PROJECTION is the young turks in this fictitious cabinet are behind this risible cabin lineup hoping to push for their names in a front seat. (Details of our analysis will be shared very soon.)
Baraza la Rais Samia Suluhu
Makamu wa Rais- Philip Mpango
Waziri Mkuu- Kasim Majaliwa
Waziri Mambo za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa- Januari Makamba
Waziri wa ARDHi- William Lukuvi
Waziri wa Tamisemi- Suleiman Jaffo
Waziri wa Sheria - Profesa Kabudi
Waziri wa Fedha - Charles Kimei
Waziri wa Madini- Dotto Bitteko
Waziri wa Nishati- Medadi Kalemani
Waziri wa Maji - Nape Nnauye
Waziri ofisi ya Waziri Mkuu-Jenister Mhagama
Waziri wa Mali Asili. Na Utalii - Damas Ndumbaro.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa -Makame Mbarawa
Waziri wa Mambo ya Ndani- John Simbachawene.
Waziri wa MIFUGO na Uvuvi- Mashimbo Ndaki
Waziri wa ELIMU - Joyce Ndalichako
Waziri Mawasiliano na Technolojia- Faustie Ndungulile
Waziri wa Habari na Michezo- Inocent Bashungwa.
Waziri wa Afya - Doroth Gwajima
Waziri wa Muungano na Mazingira- Juma Aweso
Waziri wa
Utumishi- George Mkuchika
Waziri wa Viwanda- Umi Mwalimu
Waziri wa Uwekezaji- Humphrey Polepole
Katibu Mkuu KIONGOZI - Mussa Assad
Hapa tupo recycling bin [emoji38]Hii imeshindikana Congo. Ondoa PM wa Magufuli. Ondoa Dotto Biteko, Ondoa Medard Kalemani. Afu leta wapya ktk Profession zao bobezi.
Kombinenga! Kombinesheni Saundi!
Mani Wota! Mani Maji!
Aluwatani Twenti Pasenti🤣🤣
Wewe ndio una matatizo ya akili, maana hauwezi hata kuelewa hiyo nyimbo.Huna matatizio ya akili kweli?
Mbona unatoka Nnje ya mada post zako nyingi kwenye nyuzi za Rutashubanyuma ni nonsense.
Wewe uliandika kingereza?Wewe ndio una matatizo ya akili, maana hauwezi hata kuelewa hiyo nyimbo.
Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?
Hii ni post yangu ya pili kwenye huu uzi! Posts nyingine ziko wapi?
Tulia dawa ikuingie! Kama umeshindwa lugha ya kiingereza sema wakusaidie.
Thank you. Just fed up with his nonsensical posts but chose to ignore them.Wewe uliandika kingereza?
Wewe umeandika kiluguru ee!!!
Niliandika "Nyuzi" sio uzi kuna ule uzi mwingine pia ulikua unapost nonsense pia.
Nachotaka kukuambia Changia sawa na matakwa ya uzi, usitie vitu ambavyo ni trivial especially here.
Anzisha thread post lyrics ya izo nyimbo.