Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #301
Sasa ulitaka nikujibuje kama wewe uliandika kwa kiswahili?Wewe uliandika kingereza?
Utajijua mwenyewe! Kama umepata hasira jibamize ukutani.Wewe umeandika kiluguru ee!!!
Uzi gani wewe uliandika? Au wewe ndio Rutashubanyuma ? Tazama hiyo video ndio utaielewa, sio kila kitu lazima utafuniwe!Niliandika "Nyuzi" sio uzi kuna ule uzi mwingine pia ulikua unapost nonsense pia.
Wewe ni mwendawazimu! Kipi ambacho huelewi hapo?Nachotaka kukuambia Changia sawa na matakwa ya uzi, usitie vitu ambavyo ni trivial especially here.
Sitaki kuanzisha! Na wewe kama una muda tafuta mistari ya hizo nyimbo.Anzisha thread post lyrics ya izo nyimbo.