Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #21
AminaNyota njema huonekana asubuhi.. Ila kwa yaliyopita ilikuwa Ni vice versa...nyota iling'aa asubuhi alafu mchana /usiku ikazima.
Natumai hii itaangaza ..siku zote...