Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #4,001
2020 hatukufanya uchaguzi kilichotokea hawakuhesabu kura bali walitangaza matokeo yao kutoka mifukoni mwao. Hatulalamiki ila tunamkumbusha Mwenyezi Mungu awakemee kama alivyomkemea shujaa wa ChatoWewe unalalamika nini, si tulicgua hawa 2020? Basi tuliambiwa utakuwa nao mpaka 2030, kazi iendelee- kujaza matumbo Yao mpaka yapasuke