New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Hii khoja ina mashiko gani kwa wapigakura wako? Au huu upuuzi ndiyo uko kwenye Ilani ya uchaguzi wa chama chako?

Kama Nyerere mnayemwita Baba wa Taifa hayumo kwenye noti sembuse huyu ambaye hata mwaka mmoja hajaumaliza? Nyerere Rais miaka 24 na miezi minane na ndiye alikupigania uhuru na leo unakula na kututapikia. Kweli masikini akipata matako hulia mbwataaaa.

Na huyu kilaza alipita bila kupingwa.

Urais haupimwi kwa jinsia ya Rais bali ni nini kalifanyia taifa?

millardayo_20210923_212446_0.jpg
 
Back
Top Bottom