Changamkia fursa ya hii vita ya Ukraine. Tuwaambie UN tuko tayari kuwapokea wakimbizi milioni moja kutoka Ukraine ambao ni wahanga wa vita nchini mwao.
Wakija hawa wahanga hawaji mikono mitupu wanakuja na hela ya UN. Now you can add the missing dots why this is an excellent opportunity to repair our broken economy