New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness



Huyu bado hajatumbuliwa tu?
Uhuru wa kujifaraghua mfukoni kisa tumewawezesha TRCA kuingilia uhuru.

TCRA wameshindwa kuthibiti uhalifu wa kimtandao lakini kufifilisha haki za raia wako juu!

Mbona.mnaposifiwa hamuwachukulii hatua ila mnapokosolewa?

Mna matatizo gani. Ukijikuza utakwezwa.


Uvumilivu ndiyo ucha Mungu.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Unafiki wa wapinzani ni huu hapa. Wanadai katiba mpya ya nchi huku kwenye vyama vyao wametengua katiba za vyama vyao walizoachiwa na waasisi wa vyama vyao na kujilimbikizia madaraka kinyume na yaliyomo ya katiba ya nchi. Wameondoa ukomo wa madaraka ili watawale milele kama Kamuzu Banda!


Waanze kuboresha katiba za vyama vyao kwanza ndipo tutawauliza hiyo katiba mpya iko duka lipi tukainunue



 
Mama 2025 hana haja ya kampeni, anakuja tu mikopo[toka China , hakuna serikali iliyofanikiwa kukopa kama yake, hiyo inatosha kumpa MITANO TENA.

#Viva Mwigulu-phD ya Mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…