Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #8,641
Even I support the agrument note everyone knows the English language.Andikeni kiswahili basi na sie tuchangie, mbona mnatunyanyapaa?
Forum hii ni ya umombo tu fuateni kanuni za jamvi siyo matakwa yenuEven I support the agrument note everyone knows the English language.
Hapa ni umombo tu!Even I support the agrument note everyone knows the English language.
Of course, they have a basic argument to be heard so that they are not left out.
There are many forums in Kiswahili. It is ip to them to take advantage of themOf course, they have a basic argument to be heard so that they are not left out.
We are together, it would be more appropriate for a topic like this to be posted twice, in Kiswahili and English so that those who do not know the Queen's language are not ignored.There are many forums in Kiswahili. It is ip to them to take advantage of them
Here we focus on England contributors but occasionally kiswahili is laced here and there
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
You have broken taboos by writing Kiswahili.
You breaking taboos by writing Kiswahili.Waraka wa wazi kwa serikali ya visiwani.
Ardhi kama una hata hatimiliki lazima uiendeleze ndani ya miaka 3 tangia uipate hiyo hatimiliki.
Huwezi kukaa miaka mingi bila kuendeleza kiwanja chako na baada ya miaka 12 ukazuka tu kutoka kusikojulikana ukadai wewe ndiye mmiliki halali.
Umiliki wako ulikoma baada ya miaka 3 uliyoshindwa kuendeleza kiwanja chako
Wavimizi waliokiendeleza wanayo haki ya kwenda mahakamani na kuomba watambuliwe wao ndiyo wamiliki halali
Hii huitwa "hostile acquisition" lengo lake ni kuhimiza uendelezaji wa viwanja siyo kuvihodhi tu na kuwa mchuuzi ambayo huenda kinyume na hatimiliki
Noted with thanks. We will act accordinglyWe are together, it would be more appropriate for a topic like this to be posted twice, in Kiswahili and English so that those who do not know the Queen's language are not ignored.
Sometimes we put icing on the cakeYou breaking taboos by writing Kiswahili.
Kiswahili is not allowed.Tatizo la majibu ya kisiasa yanajenga tabia ya kutoheshimu mikataba ya ajira.
Mchezaji ananunuliwa kwa dau kubwa kwa matarajio atamtumikia mwajiri wake kwa kipindi maalumu
Sasa akitokea mwenye dau kubwa zaidi basi anavunja mkataba kienyeji bila kumfidia mwajiri wake na kama mwajiri wake akidinda basi harakati za kisiasa zinaanzishwa na kudhoofisha silika ya kuheshimu mikataba.
Wanasiasa hutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu na kujenga miundombinu mipya ya kudharau mikataba na baada ya muda mrefu vilabu ndiyo waathirika wakuu.
Hatuwezi kuendeleza michezo kwa kukiuka mikataba tena kwa gharama za vilabu.
Kama dogo anataka kwenda Azam hakuna shida bali aidha yeye au mwajiriwa wake mpya mtarajiwa aununue mkataba.
Siyo Yanga ibebeshwe jiwe la mwana mpotovu ambaye kabla ya kusajiliwa alichukua kitita sasa kwanini asikirudishe yaishe kwa salama?View attachment 2647280