Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #8,641
Waraka wa wazi kwa serikali ya visiwani.
Ardhi kama una hata hatimiliki lazima uiendeleze ndani ya miaka 3 tangia uipate hiyo hatimiliki.
Huwezi kukaa miaka mingi bila kuendeleza kiwanja chako na baada ya miaka 12 ukazuka tu kutoka kusikojulikana ukadai wewe ndiye mmiliki halali.
Umiliki wako ulikoma baada ya miaka 3 uliyoshindwa kuendeleza kiwanja chako
Wavimizi waliokiendeleza wanayo haki ya kwenda mahakamani na kuomba watambuliwe wao ndiyo wamiliki halali
Hii huitwa "hostile acquisition" lengo lake ni kuhimiza uendelezaji wa viwanja siyo kuvihodhi tu na kuwa mchuuzi ambayo huenda kinyume na hatimiliki