New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

1. TLS' OVERALL OBSERVATION ON PEOPLE-ORIENTED SUSTAINABLE INVESTMENTS.


TLS recognizes and acknowledges the government's commendable initiatives to attract foreign investments and stimulate the national economy for the benefit of the country's prosperity. TLS fully supports all efforts that enhances national prosperity, rule of law. However, TLS urges the Government and the Parliament of the United Republic of Tanzania to consistently secure ample and extensive public involvement in the planning, discussion, and decision-making stages concerning national resources and such grand-scale investments in accordance with the Constitution of the United Republic of Tanzania, specifically Articles 8 and 9, and most notably, Article 21(2), which grants every citizen has the right and the freedom to participate fully in the process leading to the decision on matters affecting him, his well-being or the nation. TLS expresses concerns over the inadequate time allotted for stakeholder’s engagement during the ratification of this Intergovernmental Agreement (IGA). Although the Parliament of the United Republic of Tanzania invited stakeholders to offer their feedback on the agreement on June 6th , 2023, the public hearing that followed was held on June 7th , 2023. This left many stakeholders unable to present their recommendations to the Parliament's Standing Committee due to the short notice. The limited time did not permit TLS to thoroughly scrutinize the IGA and provide a detailed legal perspective, as stipulated by Section 4 of the TLS Act – Cap. 307. TLS has always closely collaborated with the Parliament of the United Republic of Tanzania and other key stakeholders. We urge the Government and the Parliament to respect the legal provisions and regulations related to stakeholder engagement. TLS notes that the Intergovernmental Agreement (IGA) was not well- well-drafted, leading to vagueness, doubts, ambiguities and diverse interpretations by different actors. Also, there are provisions/clauses that overlook, contradict or contravene the national interests, and we suggest their total removal. These clauses could lead to disputes during the implementation of the IGA, subsequent HGAs, and Project Agreements. In view of this, TLS advocates for the active involvement of experts and stakeholders with specialized expertise to share their insights on crucial matters towards modifying the highlighted provisions. We stress on leveraging TLS experts and/or individual private advocates to aid our nation in negotiating and drafting significant investment agreements, ensuring better clarity, efficiency, and mitigating the risks of future investment disputes, which could be costly for our country. Moreover, we highly recommend In addition, we strongly propose substantial revisions to the Tanzanian legal framework on procedures for ratifying international agreements. The Parliamentary Standing Orders (June 2020) paragraph 108 should be amended to bolster the Parliamentary role in ratification processes. TLS requests that the Standing Orders be amended to mandate an adequate timeframe within which stakeholders can comprehensively analyze the agreements and submit their recommendations to the relevant Parliamentary Committees.
 
MITAMBO YA KUZUIA MADAWA YA KULEVYA BANDARINI HAKUTAMZUIA MWEKEZAJI KUIZIMA NA KUSHUSHA, KUPITISHA MADAWA TAJWA, KUPORA NYARA ZA SERIKALI NA KUUFANYA UHALIFU DHIDI YA MWANADAMU KUSHAMIRI!!!!!



We read dishonest, if you really cared our ports not being converted into international drug hubs, corridors and reserves you would not have sold our ports to DUBAI PORTS WORLD.


Waarabu watatumia hii fursa kuingiza, kupitisha madawa ya kulevya, kutupora nyara za serikali hasa ukizingatia kuna mwarabu aliuziwa mbuga ya Loliondo na kuteka, kusafirisha watumwa kwa minajili ya kurina viungo vya mwanadamu huko uarabuni.


Sasa kwao mwendo mdundo na kudai ifungwe mitambo ya kumulika madawa ya kulevya ni unafiki usio na rutuba.

Ni nani ataisimamia hiyo mitambo? Mwekezaji kwanini asiizime ili atoroshe nyara/watumwa au kushusha au kupitisha madawa ya kulevya?

Tujiandae vijana wetu kuwa mateja wa madawa ya kulevya maana serikali yao imewapora ajira na kuwapa wageni na hawana matumaini na dawa tajwa wataona mfariji tena watazipata kirahisi na kwa bei elekezi [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23]

Pia tujiandae mbuga zetu kusafishwa na tusije kushangaa itafika mahali watalii watahamia arabuni kuwaona maana mbuga zetu zitahamishiwa huko.


Pia, tutegemee silaha haramu zipate mapito na biashara ya uhakika.

Baya zaidi ni uhalifu dhidi ya mwanadamu. Sasa hivi uarabuni ukimwi unawatafuna sanaaaaaaa na vuno lake chujio za wengi hoi. Hizi chujio ni pamoja na maini, figo, bandama n.k. kwahiyo wanatuangalia sisi wamatumbi kama spea za bei poa za kuwawekea viraka vya viungo vyao mahututi.

Hivi sasa tu, tuna taarifa nyingi za ndugu wa jamaa wanaoenda arabuni kudunda mzigo wana malalamiko ya kufa kwa wapendwa wao kwenye mazingira yenye utata mkubwa. Wengi maiti zao hukutwa zimenyofolewa viungo vya wanadamu na kuuzwa kwa wenye vipato lakini chujio zao zimechoshwa na kusafisha damu inayochafuliwa na magonjwa nyemelezi. Mwarabu akiisha kukabidhiwa hizo bandari tutegemee kasi ya utekaji kwa minajili ya kutusafirisha arabuni tukavuliwe viungo vyetu ili kuwaongezea siku za kuishi waarabu waathirika na ukimwi kuchukua sura mpya. Hii pia ni shukrani wezi wa kura wametusogezea.


Pamoja na hawa wezi wa kura kudai vinginevyo na kusaidiwa na wateule wao kutetea kuuzwa kwa bandari zetu wasichojua wamewajengea waarabu miundombinu laini za kuvuna na kusafirisha watu hai kama watumwa na/au viungo vyao kukidhi mahitaji makubwa ya viungo vya mwanadamu vilivyoko huko uarabuni.

Hivi sasa utakuta kuna ajira feki zinatangazwa uarabuni na zinalenga Afrika na huahidi makubwa lakini walionaswa kwenye hiyo chambo huuwawa na viungo vyao kuuzwa kukidhi mahitaji makubwa ya waathirika wa ukimwi ambao wana matatizo ya viungo vya mwanadamu.


Kwa ulafi na tamaa ya viongozi wetu waliojitwalia himaya yetu bila ridhaa yetu, uuzwaji wa hii bandari utakuwa kichocheo kikubwa cha uhalifu dhidi ya mwanadamu. Biashara ya utumwa itarudi kiupya na vijana wetu kwa kuporwa ajira watajikuta aidha ni wapagasi wa kuwateka nyara wenzao au kuwa wahanga wa biashara hiyo ya viungo vya mwanadamu.

Haya ni matunda ya kuliabudu tumbo bila kujali usalama wa taifa.

La ajabu, ulafi umewapofua macho yao na kuwatia pamba masikioni hata kudai usalama wa taifa hautaathirika hadi siku wanao na wawapendao watakapotoweka kusikojulikana labda baada ya hapo watatambua amani ya uwapendao ni bora kulikoni dhahabu na fedha. - Proverbs 3: 14-35, Isaiah54:13. (Mithali 3:14-35 & Isaya 54:13)







 
HONGERA MHESHIMIWA JAJI MUGASHA KWA UJASIRI WA KUKEMEA DHULUMA




Tunampongeza Mheshimiwa Mwanahaki Mugasha kwa ujasiri wa kuhoji ukiukwaji wa katiba yetu unaofanywa na Mheshimiwa Rais.


Wanaombeza na kudai anausaka Ujaji Mkuu wanashindwa kuelewa kila mmoja ana jukumu la kutoa mchango wake kwenye eneo lake.


Hivi huyu Juma kwanini asistaafu lakini na kuzibia wenzie tonge?


Tumeambatanisha na barua murua ya Mheshimiwa Jaji Mugasha na tunachukua nafasi hii kumpongeza


Kwa kuwakosoa hawa wadhalimu ni dhahiri kwa kumkomoa hawatamteua pamoja maamuzi yake huzingatia haki kila siku.

Mungu aendelee kumbariki Mheshimiwa Jaji Mugasha na huyu Juma afungishwe virago miaka 65 unabaki utumishi wa umma ili iwe nini?





View attachment Mtendaji Mkuu wa Mahakama.pdf
 
Ujumbe wa leo...NCHI IMEUZWA MCHANA KWEUPE!


Mamlaka ya kikatiba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia huu mkataba wa uwekezaji kayakasimu kwa serikali ya Dubai. Nchi hii sasa iko chini ya usimamizi wa serikali ya Dubai kinyume na katiba!


Tukisema nchi imeuzwa kwa waarabu ni mkataba unasema.

Nchi hainufaiki na huu mkataba bali waliousaini ndiyo wanufaikaji wakubwa!



Bunge ambalo wananchi hawajalichagua limeridhia nchi hii kutawaliwa na waarabu ili mradi wao waendelee kula kodi zetu.


Mfumo wa demokrasia ya vyama vya siasa ndiyo shubiri yetu.


Ili kulinusuru taifa lisiingie kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe inabidi tutengue mfumo wa demokrasia ya vyama vingi na tuhamia demokrasia ya wananchi wa Tanzania.

Haingii akilini vyama vya siasa vikawa na demokrasia kwa sababu kwanza havina uhai hivyo havihihitaji hiyo demokrasia.

Pili, tuliumbwa tutawale viumbe vyote sisi tunasema vyama vya siasa vitatutawala na vurugu zote za uwakilishi haramu zinaanzia hapo.


Baadaye, tunagundua vyama vya siasa vina wenyewe. Viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa ndiyo wamiliki wa hivyo vyama na hawafanyi maamuzi kuwanufaisha wanachama wao bali hufanya maamuzi kujinufaisha wao.


Demokrasia ya wananchi wa Tanzania itaondoa matakwa ya sifa ya kugombea nafasi ya umma ni lazima mgombea awe na udhamini wa chama cha siasa bali atatakiwa adhaminiwe na wapigakura kwa idadi itakayokubaliwa na wengi.

Wagombea binafsi watakuwepo na hata wanaodhaminiwa na vyama vya siasa hawatapoteza haki yao waliyoipata ya uwakilishi kama watafukuzwa uanachama au wataamua kwa hiari yao kuhama vyama au kuwa wawakilishi huria.

Tutaendelea



 
AZIMIO LA BUNGE LIMEKIUKA KATIBA KWENYE MAENEO YAFUATAYO:-

a) Azimio la bunge limekiuka katiba kwa kukubali Mkataba unaomvua Rais, serikali, bunge, mahakama zetu, wananchi na sheria zetu mamlaka za kikatiba za usimamizi wa mali ya umma na kukabidhi mamlaka tajwa kwa kampuni ya umma ya serikali ya Dubai na haya ni makosa ya uhaini!


b) Azimio la bunge limeridhia Mkataba uliohalalisha kuua ushindani. Upatikanaji wa Kampuni ya Dubai Ports World hakufanyika kwa uwazi na ushindani kinyume na sheria za manunuzi, uwekezaji na katiba ya nchi kwa ujumla

c) Bunge limepitisha Azimio batili bila kuwapa fursa wananchi kutoa michango yao kwenye maeneo yafuatayo:-

Moja, Bunge halijawahi kuusambaza mkataba kwa wananchi ili waupitie na kuwawezesha waweze kuchangia.


Mbili, Bunge lilitoa siku moja tu ya umma kuchangia na hautoshi kuweza kuwapa fursa wananchi kufika bungeni, Dodoma kutoka pande zote za nchi kubwa kama hii.

Tatu, Mapendekezo ya kamati ya Bunge ya huu mkataba hayakufikishwa kwa wananchi wajue yaliyomo na mantiki zake kama yamezingatia raia wachache walioweza kufika Dodoma na kuchangia.

d) Hapakuwepo na kura ya kupitisha hili azimio bali vuvuzela (acclamation) la ndiyo hapana. Wapigakura kwenye kila jimbo waliporwa haki yao ya kikatiba ya kuwasimamia wawakilishi wao pale maamuzi yao hawayajui.

e) Kila kipengele cha mkataba hakikupigiwa kura ya wazi na hivyo kuwanyima wabunge kuonyesha ni maeneo gani ya mkataba hawakubaliani nayo. Pia siyo sahihi kutokuwepo uwazi wa wabunge wapi wamekubali au kupinga kila kipengele cha mkataba ili kumwezesha mpigakura kumpima mbunge wake utendaji wake.

f) Mwekezaji hana wajibu ulio wazi kwenye mkataba lakini karundikiwa haki nyingi ambazo ziko wazi.

g) Manufaa ya nchi hayamo kwenye mkataba hayajulikani lakini nchi imevishwa minyororo minene na mizito ya wajibu.

h) Kinyume na matakwa ya katiba yetu inayotamka njia kuu za uchumi zitasimamiwa na watanzania azimio la Bunge limeridhia njia kuu za uchumi zisimamiwe na kampuni ya umma ya Dubai ambayo kwa manufaa yao imegeuzwa kuwa ya binafsi ili kutudhulumu haki zetu za kulinda mali ya umma.

i) Misingi ya usawa, uwazi na ushirikishwaji iliyomo kwenye katiba ilikiukwa kwenye mchakato mzima wa kuipata kampuni ya Dubai Ports World.

j) Kampuni ya Dubai Ports World ni ya umma lakini kwenye azimio la bunge la kuafiki huu mkataba imeigeuza kampuni ya umma kuwa ya binafsi na huu ni ulaghai, hila na uzandiki wenye lengo la kuibana nchi yetu endapo migogoro itazuka.

k) Azimio la bunge ni batili kwa kuridhia kampuni ya Umma ya Dubai Ports World kutambulika kama kampuni binafsi kinyume na sheria za usajili wa makampuni na sheria za mikataba ya nchi hii kwa minajili ya kupora utajiri wa nchi isivyo halali na kinyume cha sheria.

l) Azimio la bunge limekiuka katiba kwa kuitengua katiba ya nchii hii ma sheria zetu katika usimamizi wa mali ya umma.

m) Azimio la bunge ni batili kwa kuafiki nchi yetu kuingia mkataba hewa na serikali ya Dubai ambayo haitambuliwi na umoja wa mataifa.

n) Azimio la bunge ni batili kwa kuridhia kukiuka mikataba ya kimataifa ya uwekezaji ambayo sasa ni sheria za nchi ambayo ni chachu ya usawa, haki, uwazi na ushindani kuhakikisha michakato yote ya uwejezaji inalenga kuwanufaisha wananchi wa nchi husika

o) Azimio la bunge limekiuka sheria za mikataba kwa kuipa nchi yetu majukumu yaliyowazi lakini haki ambazo hazijulikani na huku serikali ya Dubai imepewa haki lukuki bila wajibu ulio wazi.

p) Azimio la bunge ni batili kwa kujipa mamlaka ya kuidhinisha makubaliano ya kuiwezesha kampuni ya umma ambayo kwenye mkataba husika imegeuka kuwa kampuni binafsi kwa minajili ya kupora mali za nchi hii.

q) Azimio la bunge ni batili kujadili na kupitisha mkataba ambao tayari ulikwisha kusainiwa na viongozi wa kitaifa na hivyo kukiuka ibara za katiba zinazolitaka kuisimamia serikali. Bunge kwenye mchakato mzima wa kulipitisha Azimio hili waliyakana mamlaka yake na kuwa "rubber stamp" ya serikali.



r) Azimio la bunge ni haramu kwa kuridhia kuhusisha rasilimali za nchi bila kueleweka kwa rasilimali (economic zones), transportation hubs n.k ambazo upana wake na ni za aina zipi na hivyo kuhusisha nchi nzima kinyume na sheria za mikataba, uwekezaji na ardhi.

s) Azimio la bunge limetengua dhima na dira ya kikatiba ya nchi hii itajengwa kwa misingi ya kujitegemea.

t) Azimio la bunge limekiuka mpango wa miaka 5 wa TPA.

v) Azimio la bunge limekiuka uwajibikaji wa usimamizi wa mali ya umma na sheria inayompa Mkaguzi wa serikali (CAG) kuhakikisha mali za umma zinatumika kuwanufaisha watanzania.


u) Mkataba huu siyo wa nchi na nchi kwa sababu hakuna waziri wa Falme za Kiarabu au hata wa jimbo la Dubai ambaye aliusaini. Ni watendaji waandamizi wa Dubai Ports World ambao ndiyo waliousaini.

Hizi ni baadhi ya hoja za kisheria za kuishtaki serikali ambazo tunapaswa kuzitafakari.


Tunatofautiana na profesa Shivji aliposhauri tuwashinikize wabunge watengue maazimio yao kwa sababu hawakuchaguliwa na wananchi na hivyo hawawajibiki kwa wananchi. Hivyo, kamwe hawatawasikiliza.
 
Haki zote kapewa mwarabu sisi tumebeba majukumu ya kumwezesha aipore nchi hii na hakuna manufaa yoyote kwetu yanayombana mwarabu atupatie.

Na khoja za serikali kuwa baada ya miaka 10 tutapata matrilioni ni upotoshaji wa umma kwani mbali ya kutotajwa haki hizo kwenye mkataba pia ngonjera tajwa zinakiuka mipango ya muda mrefu ya TPA.



 
Azimio la bunge limekiuka katiba kwa kutengua mamlaka zote za kiusimamizi wa mali ya umma lakini kuwafadhili waarabu kutolipa kodi.

Na mkataba uko bubu juu ya manufaa ya mgawanyo wa mapato kati yao na serikali yetu.

Kwa kifupi, chini ya huu mkataba mwarabu hatalipa kodi kwa mapato yake ma hawajibiki kugawana mapato yake na sisi.

Pia mwarabu hatakaguliwa na CAG maana kajigeuza kuwa taasisi binafsi ili asiwajibike kwa matumizi mabaya ya mali ya umma, uporaji wa mali ya umma na kutotoa taarifa za kweli za mapato na matumizi kwa minajili ya kubaini naksi ya bajeti ķwa mgao wetu.
 
WANAZUONI WATOA TAMKO JUNE 2023

KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USARITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA.

WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE
NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI
NAKALA KWA TAASISI YA MWALIMU NYERERE CHINI YA MZEE JOSEPH BUTIKU
NAKALA KWA VIONGOZI WA CCM
NAKALA KWA WASOMI WOTE NCHINI
NAKALA KWA UMMA WA WATANZANIA
NAKALA KWA WAPENDA AMANI DUNIANI KOTE

Jumuiya ya Wanazuoni nchini ambao tumekaa pamoja kutoka vyuo vikuu mbali mbali kutimiza wajibu wetu kama katiba ya Nchi inavyotaka pamoja na ya Chama Tawala iliyorisi misingi ya TANU kwamba nitajielimisha kwa uwezo wangu wote kwa manufaa ya nchi yangu na Elimu yangu ni kwa manufaa ya Taifa. Wanazuoni tunaanza kwa kutumia busara na kujenga hoja mahususi kupinga nchi yetu kuuzwa kienyeji kwa kisingizio cha mashirikiano ya Nchi yetu na Nchi za Falme ya Kiarabu. Hoja zetu ni kama ifuatavyo;
Kwanza; Bandari zetu zote ni mali za Watanzania zinazosimamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hatuna ubia na mtu yoyote wala Taifa lolote. Wanazuoni baada ya kusoma kwa kina kile kinachoitwa mkataba wa kubadilisha uendeshaji wa Bandari zetu na kwa jinsi tulivyofuatilia hoja mbali mbali za wanaunga mkono na wanaopinga, Wanazuoni tunapenda kutoa tafsiri sahihi ya hicho kinachoitwa mkataba kwa lugha rahisi , Wanazuoni tumetafsiri kuwa ni kitendo cha kuuza Nchi kwa bei rahisi sana na kuingiza mwanahisa mpya kwenye umiliki wa Bandari zetu ambao utakuwa umiliki wa milele au wa muda husiokuwa na kikomo maana hata waziri ameshindwa kusema huo mkataba utakwisha lini? Tafsiri yetu inatokana na jinsi hao wanaoitwa washirika wanavyogawiwa bure Bandari zetu eti kwa kigezo wanajua kuendesha Bandari. Hata kama wanaleta mtaji bado kwa kupewa mkataba tu kwao ni pesa na watapata mikopo midogo na mikubwa huko Duniani kwa kutumia Bandari zetu. Kwa kuwa Waheshimiwa Wabunge wameamua kulisariti Taifa na kupitisha ridhio la makubaliano hayo wajue kuwa mkataba huo utalindwa na sheria za Kimataifa huwezi kuuvunja na ukifanya hivyo Nchi itaingia kwenye Vita maana kila upande wa umiliki wa Bandari utatumia jeshi kulinda haki zake za kiuchumi (economic interests). Hoja yetu ya msingi hapa kuwa tutapoteza umiliki ambao tulipewa na Mungu “Sovereign ownership of the ports”. Wanazuoni tunasikitika kwani serikali zilizotangulia zote zimewekeza sana kwenye maboresho ya Bandari zetu kwa kiwango cha juu mno kwa viwango vya Afrika. Ni ujinga (ignorance) wa kiwango cha juu sana kujilinganisha na Nchi za Falme za Kiarabu (Emirates au Dubai) ambazo zinamilikiwa na falme au koo(familia). Ni rahisi sana Mabeberu wa Kimarekani kujificha kwenye kivuli cha Falme za Kiarabu au Vivyo hivyo hata Umoja wa Ulaya ambao wanao mkataba mbovu wa EPA uliokataliwa na Afrika nao ni rahisi sana kuwa kwenye kivuli cha Falme za Kiarabu au Dubai.
Kumbuka Umoja wa Ulaya ulitumia pesa nyingi na muda wa miaka mingi kutaka moja ya masharti yao ya EPA ni kutumia Bandari zetu bila malipo yoyote as Free ports for European goods/products. Ukizingatia uchumi wa Marekani na Umoja wa Ulaya upo kwenye kipindi kigumu sana kuliko wakati wowote. Marekani na Umoja wa Ulaya wanaongezeko kubwa la umasikini, ukosefu wa Ajira na wamezidiwa na China katika uzalishaji viwandani (Manufacturing industries). Hivyo basi , sehemu pekee ya wao kupona na kushindana na China ni kupora utajiri wa Tanzania (Afrika) na kuendeleza unyonyaji ili waweze kuwatunza wazungu wenzao kwa kuwapa sera kinga (social Protection policies). Cha ajabu kubwa na ya karne Tanzania ambayo inataka kugawa Bandari zetu Bure kwa madalali wa Dubai ni moja ya Nchi Duniani ambayo haina sera kinga kwa watu wake na hasa makundi maalum (Lack of National Social Protection Policy). Ina viproject kama vile TASAF nayo inategemea pesa za wafadhili na mikopo ya Benki ya Dunia.
Lakini kwa Wazungu wa Ulaya na Wamarekani wanazo sera kinga ambazo zinalipiwa na pesa za Serikali za Walipa kodi wao na nyingine wanapora nje ya Nchi kama vile Ufaransa inavyopora west Afrika. . Na hii inawezekana tu kwa kuendelea kupora rasimali za Afrika na kupora uchumi wa Nchi zetu. Wanajua wakichukua Bandari zote za Tanzania watakuwa wanamiliki uchumi wa Nchi Karibia kumi zinazotegemea Bandari zetu kwa sababu Nchi yetu ipo kijiographia eneo la kimkakati sana na ndiyo moyo wa Nchi zote zinazotuzunguka. Ukiharibu uchumi wa Tanzania na Amani ya Tanzania umeharibu uchumi wa majirani zetu, Rejea Wosia wa Baba Taifa Mwalimu Nyerere kwenye hotuba aliyotoa SADC mwaka 1984 ikiwa sehemu ya kuaga kama Mkuu wa Nchi. Hivyo Wanazuoni tunawaomba Waheshimiwa Wabunge wetu wakatae kabisa siyo tu kubadili vipengele vya mkataba waachane kabisa kucheza na Taifa letu maana historia itawahukumu vibaya sana. Wajifunze Libya jinsi Mabeberu walivyowatumia wanasiasa na kuharibu Taifa lile. Ukiingiza Mabeberu wa kimarekani na Ulaya kwenye umiliki wa Nchi kama wanahisa wa Bandari zetu kwa mgongo wa Madalali wa Vinchi vya Falme za Kiarabu vinavyomilikiwa na kuendeshwa na familia za Kifalme ujue umeuza Nchi kabisa na Rushwa waliokupa utajuta maana watakutupa mbali na kutafuta serikali ya kulinda masilahi yao ya kiuchumi. Na hiki ndicho kitakuwa kifo cha chama Cha Mapinduzi na laana ya Waasisi na Watangulizi itatutafuna na kuwatafuna wabunge wote pamoja na spika wao. Mungu tuepushe laana hii. Ndiyo maana tunawaomba wazee wa Taifa hili kupitia Mwalimu Nyerere Foundation wajaribu kumshauri Mh. Rais aweze kupata Neema ya kuona hatari tunayoiona.Wazee mkikaa kimya Taifa letu likauzwa basi mjue nanyi historia haiwezi kuwaacha salama nyinyi na vizazi vyenu.
Hoja ya pili ya Wanazuoni ni kwamba Uchumi wa Tanzania tangia awamu zilizopita na kuchagizwa na awamu ya Tano imeweka Miundo Mbinu mikubwa sana ya Matrilioni ya Shilingi. Tumejenga reli ya Kisasa na tunamiliki wenyewe hatuna ubia, tumejenga vyanzo vya umeme ili kuweza kuendesha Treini za umeme. Tumewekeza sana kuboresha Bandari zetu kwa uwekezaji wa matrilioni ya shilingi na hatuna ubia. Tunahitaji kuendesha wenyewe Bandari na kutumia treini ya umeme kufikisha mizigo ndani ya masaa 20 kwenye Nchi zinazotuzunguka na tutaweza kupata pesa nyingi za kulipa madeni ya miundo mbinu. Ukiweka mbia yaani shareholder kwenye Bandari zetu hutaweza kucontrol mapato na matumizi ili uweze kulipa deni.
Hawa Madalali wa mabeberu wa Vinchi vya Falme za Kiarabu watapewa mgao wao yaani dividends na Tanzania itapewa dividends na tutakuwa wajinga kusaini mikataba kama iliyosainiwa na Kar Peter karne za 14 na Chifu Mangungo wa Msovero. Mikataba siyo tu ya kitapeli bali ni ya kinyonyaji maana thamani ya Bandari ni kubwa mno ni Sovereign wealth na hawa madalali wa Mabeberu watatumia bandari zetu kukopa Duniani hawaji na chochote bali pesa za kuwahonga viongozi wetu pamoja na kuwapa ahadi hewa za umiliki sehemu ya shares. Watawatupa nje kama Mobutu wa Congo zamani Zaire. Imperialists have permanent interests not permanent friends. Baada ya miaka ishirini Nchi itakuwa imeuzwa kabisa kwa Mabeberu ambao watajitanua sana na tutajiingiza kwenye mgongoro wa kiuchumi wa Kimtaifa (Geo political conflicts among imperialists powers). Tujifunze kwa Ufaransa na Nchi walizozitawala wanaendelea kuzinyonya kiuchumi. Hivyo basi tunawaomba Waheshimiwa Wabunge tusikubali kupuuza ushauri huu wa wasomi na kukubali mawazo ya kijinga ya wanaojiita darasa la saba ambao hawana uelewa wa uchumi wa Dunia na vita ya kiuchumi Duniani.

Hoja ya tatu ya Wanazuoni kwa Waheshimiwa Wabunge ni kuomba kabisa kukataa kabisa kutumika kuuza Nchi. Tunapinga hoja ya kusema kuwa wenzetu wana mitaji na technolojia hivyo tutaboresha uendeshaji siyo kweli. Hatuwezi kujilinganisha na Vinchi vinavyomilikiwa na familia za Kifalme ambavyo ni madalali wa mabeberu. Tutaboresha kwa viwango vyetu na tunaweza kuajili mtu yoyote kutoka dunia kuboresha uendeshaji. Tunaweza kuajili Mzungu, au Mhindi, au Mwarabu au Mkorea au MwaAfrika yoyote na tunaweza kununua technolojia popote duniani na kuweka mifumo ya Komputer ili kuondoa kero na Rushwa Bandarini. Mkataba wa TICS wa zamani husitumike kama kigezo siyo kweli, hata TICS hatutaki iwepo kabisa tunatakiwa kuimarisha mamlaka ya Bandari Nchni. Ni Ujinga wa kiwango cha Uprofesa au PhD kwa kudhani kuuza Nchi kwa kumpa mtu ubia ili aweze kuendesha Bandari zetu kwa niaba ni jambo zuri. Tutakuwa tumewasaliti watanzania. Waheshimiwa wabunge mkataba huo hata ukimpa GSM au mfanyabiashara mmarufu Mzee Bharesa au Jumuiya ya Wafanya biashara Nchini watafanya maboresho na utajiri utabaki hapa hapa na usalama wa Taifa utabaki pale pale. Huhitaji kuwa Profesa wa Uchumi kuona kuwa mkataba tajwa ni utapeli wa kimataifa na kuuza Nchi kienyeji ni mtu mjinga pekee anayeweza kukubali bila kupovushwa na Rushwa kubwa (grand corruption).

Hoja ya Nne kutoka kwa Wanazuoni, tunakataa Madalali wa Kiarabu wanaotumiwa na Mabeberu na wanaomiliki Vinchi vyao kupitia familia za kifalme zenye idadi ya watu ndogo na wote wananufaika na utajiri wa Nchi zao, mfano Dubai watu milioni mbili tu na wote wanatunzwa na serikali ya kifalme. Hivyo Social anthropology ya WaAfrika na WaTanzania ni tofauti na hao WaArabu kabisa kwa idadi ya watu na mambo mengine mengi ya kijamii, kisiasa, kiuchumi , kiutamaduni na kihistoria. Kugawa Bandari zetu ni sawa na kuuza Nchin yetu, hivyo tusitafute short cut. Lazima tupambane na Rushwa na tuongeze ufanisi katika Bandari zetu ambazo ni nguzo ya Uchumi wa Taifa letu.

Bunge lenye maprofesa wengi wazuri wakiwepo Prof. Kabudi, Prof. Kitila , Prof. Mkenda, Prof. Ndalichako na wengine. Halafu Bunge lenye Madaktari wa kusomea (PhD) nao ni wengi pia. Wapo Madaktari wa Binadamu (MD) nao wengi. Wapo wasomi wa aina mbali mbali wakiwemo wachumi . Hivyo sisi Wanazuoni tunaomba mkataba wa kukodisha Bandari husipitishwe kwani ni kuuza Nchi. Hawa wasomi wakikaa kimya historia itawaukumu huko mbele ya safari.

MAPENDEKEZO
Wanazuoni tunatoa mapendekezo yafuatayo kwa Waheshimiwa Wabunge pamoja na viongozi wote ambao wamepewa nakala ya wakara huu kutoka kwa wasomi wa Taifa. Tunawaomba wazee kama vile Mzee Butiku, Mzee Msekwa , Wastaafu wa vyombo vya ulinzi na Usalama na viongozi wa Chama Tawala wasikubali huu mkataba hata kama Bunge limepitisha wakatae maana Watanzania waliowengi wanapinga kabisa Nchi yao kuuzwa kwa mgongo wa mashirikiano kati ya Nchi na Nchi.
Kwanza; tunaomba kabisa Bunge lisitishe kabisa mkataba huu siyo kuboresha bali kusitisha mara moja na ktunga sheria ya kutoweka mbia yoyote kwenye Bandari zetu zote , iwe Bagamoyo au iwe yoyote. Liwepo katazo la kibunge .
Pili, tunaomba wabunge na spika wamshauri vizuri Mh. Rais kwa upole na uzalendo wa hali ya juu. Inawezekana washauri wa uchumi wa Rais hawajaliona jambo hili kwa bahati mbaya hivyo ushauri wetu utawaamusha uzingizini.

Tatu tunashauri Treini ya Umeme ambayo Mh. JPM aliacha imekamilika kipande cha DSM na kipande chas Dodoma ilikuwa imefikia asilimia 80%. Tunaomba mshauri Rais azindue Treini hiyo na kwenye bajeti ya mwaka huu tuwekeze kujenga reli mpaka Bandari . Tujenge Bandari kavu kubwa Dodoma kwa kutumia SUMA JKT kwa muda mfupi na gharama ndogo ili treini ianze kubeba mizigo na kuongeza ufanisi wa Bandari bila kuweka madalali wa Mabeberu wanaokuja kwa mgogo wa Vinchi vy Falme za Kiarabu wanavyomilikiwa na Familia. Tanzania ni Nchi yenye hadhi kubwa ndani ya Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kimtaifa. Tanzania ni Nchi na Taifa ambalo halimilikiwi na Familia ni Nchi solid kabisa yenye kuheshimika Duniani tusipoteza mwerekeo tuungane na tujenge Nchi yetu kwa uzalendo na Umoja na tuache ubinafsi maana utaliangamiza Taifa.

Nne Wanazuoni tunashauri Waheshimiwa Wabunge wetu waweze kutafuta busara za wazee wa Taifa , Mzee Joseph Butiku , Mzee Warioba, Mzee Mangula, Wastaafu wa Jeshi , Wastaafu wa Usalama wa Taifa, Marais Wastaafu, Maprofesa Wastaafu , Wasomi wabobezi kama vile Profesa Shivji na wengine wengi. Wabunge aandaa semina huko Dodoma na Waite hawa Watanzania Wazalendo wawepe Busara zao ili mkifia maamuzi mtaweza kuliokoa Taifa.
Tano Wanazuoni tunashauri Waheshimiwa Wabunge wamuombe Mh. Rais amsimamishe kazi waziri Mbarawa kupisha uchunguzi maana wizara yake ndiyo inataka kuleta majanga ya Taifa.

Tunatanguliza Shukrani
Wenu Katika Ujenzi wa Taifa
Wanazuoni
 
JINSI MKATABA ULIVYORUDISHA UKOLONI WA MWINGEREZA!


Tufike mahali tuone hata kama hatuna ushahidi wote waliousaini huu mkataba na waliopitisha azimio la bunge la kuridhia nchi yote kuuzwa kwa waingereza kupitia mgongo wa waarabu wamehongwa.


La kushangaza, Mwingereza kabla ya kuwapatia Kenya Uhuru alisema Kenya haitaendesheka bila kuwa na bandari na akanunua ukanda wote wa pwani uliokuwa unamilikiwa na Sultan wa Oman kwa joho la nguo tu.



Sisi hawa vibaraka wa ukoloni mamboleo wanakubali kuhongwa na sasa wameuza nchi kwa wazungu kupitia vibaraka wao wa Dubai. Hawa waislamu wanafikiri wamewauzia waislamu wenzao nchi ili watusilimishe lakini wasichojua hawa waarabu ni watumwa wa wazungu ambao ni Wakristu! Tekinolojia hiyo siyo ya mwarabu au mwislamu bali ni ya mzungu ambaye lazima awe mkristu. Dunia hii inatawaliwa na wakristu na imani nyingine zipo kuwatumikia. Zikijututumua huthibitiwa kiuchumi na kijeshi. Ni vyema kuanzia sasa tukaona ukoloni huu ni wa wazungu Wakristo na wala siyo waislamu waarabu. Hao ni vibaraka kama viongozi wetu hawa uchwara ni wapagasi wa ukoloni mamboleo.


Dubai na Falme yao ya Arabuni inatawaliwa na uingereza kimyakimya sasa Mwingereza anarudi kukamata njia kuu za uchumi wa nchi hii na Kututawala tena na bado tunajiona tuna viongozi!!!!!!!!!! Viongozi over my foot tujihesabu hatuna viongozi ila tuna viwavi jeshi ndiyo wanatutawala.


Hawa viongozi wetu mafisadi wamekuwa wakijitetea hawajauza nchi lakini kwenye huu mkataba wameitengua katiba yetu, vyombo vyote vya dola na sheria zetu zote isipokuwa ya uwekezaji inayowapa misamaha ya kodi tu huu ni usaliti, huu ni uzandiki na huku ni kukana viapo vyao vya kuilinda katiba yetu.


Kama katiba yetu na sheria zake zimefutwa na huu mkataba nchi hii bado ni huru au sasa ni koloni la Mwingereza kupitia mgongo wa waarabu?


Uhuru wetu unaanza na katiba kutawala nchi hii. Huwezi kuchagua sheria zetu zinazompendelea mwekezaji ndizo zifuate na zile zinazombana ili tumkamue ziwe hazimhusu.


Haya ni matunda ya kuiba kura. Ukiisha kuwa na mapepo ya kuiba kura basi kama mla nyama ya watu utaendelea kula watu na mwizi huendelea kuiba mpaka arobaini zake zifike na sasa zimefika.

Katiba yetu inasema nchi hii itaongozwa na sheria zitazotungwa na bunge la nchi hii sasa huu mkataba ulioridhiwa na bunge umeitengua katiba ya nchi kwa kusema utekelezaji wa mkataba huu hautazingatia sheria za nchi hii. Sheria hizi ni pamoja na mabadiliko ya sheria ya kodi, wao sheria ya kubadili mfumo wa kodi haitatumika kwa wawekezaji hawa sasa sisi kama nchi tunanufaika vipi?

Tunajua viongozi wetu wamenufaika ma ndiyo maana kalamu laini kutuingiza mkenge lakini taifa limeathirika ma kazi yote ya kulijenga taifa lililo huru ya zaidi miaka 60 sasa tumeipoteza kwa sababu tuna viongozi mamluki.
 
u) Mkataba huu siyo wa serikali na serikali kwa sababu hakuna kiongozi serikali ya Falme za Kiarabu au hata wa serikali ya jimbo la Dubai ambaye aliusaini. Ni watendaji waandamizi wa Dubai Ports World ambao ndiyo waliousaini.

Waliousaini mkataba huu wa kuiuza nchi ni raia wa uingereza na ni waajiriwa wa Dubai Ports World na si serikali ya Falme za Kiarabu au serikali ya Dubai inahusika na huu mkataba wa kifisadi na hivyo hawawajibiki kwa lolote wa yaliyomo na mantiki zake kwenye mkataba huu.
 
SHERIA ZA UWEKEZAJI, MISAMAHA YA KODI KWA WAGENI ZINAKIUKA KATIBA NA ZINAIINGILIA UHURU WETU WA KUCHAGUA VIONGOZI.




Sheria zote za uwekezaji ambazo zinafuta sheria za usimamizi na unufaikaji na mali ya umma kwa raia wa nchi hii zilizopitishwa na bunge zinakiuka katiba.


Sheria za kuwapa misamaha ya kodi ni za kibaguzi kwa sababu zinawapendelea mamluki na kuwakandamiza raia.


Sheria za kupora ardhi kinyume na sheria ya ardhi pia zinakiuka katiba ambayo inalinda haki za umiliki wa ardhi wa raia.

Utashangaa mkulima wa vyakula anayetaka kuuza au kusafirisha mazao yake nje ya nchi anawekewa urasimu kwa visingizio vya kukusanya kodi. Awe na kampuni iliyosajiliwa nchini , asajili maghala ya kutunza nafaka, awe na kibali, awe na TIN n.k kama yeye ni mchuuzi aonyeshe ushahidi wa kulipa kodi!!!!!!!!


Lakini akija mwekezaji kutoka nje kodi kasamehewa kwa kivuli cha kuwavutia wawekezaji!!!!!!! Huu ni ubaguzi na kwa sheria hizi bunge hukiuka katiba ambayo msingi wake mkuu ni USAWA.


Unawavutia wawekezaji kutoka nje ili waje kupora mali zetu na kuchafua mazingira bila fidia yoyote hii ndiyo sera kuu ya CCM. Lakini kwenye uporaji huo wa mali ya umma kuna jipya lajitokeza: wawekezaji huwahonga viongozi wetu na kutumia fursa ya misamaha ya kodi kuwafadhili CCM kwenye chaguzi na kwa kufanya hivyo wawekezaji kutoka nje wanashiriki kutuchagulia viongozi ambao hatuwataki.


Sheria za uwekezaji zinazowapa misamaha ya kodi zinaondoa usawa katika uwekezaji, zinawabagua wawekezaji wa ndani ambao ni raia kwa kuwa na mifumo miwili ya kodi mmoja ulio sheheni misamaha kwa manufaa ya wageni na hongo za watendaji waandamizi serikalini na wa pili kandamizi kwa ajili ya sisi raia ambao hatuwezi kuwahonga viongozi wetu waliojisimika wenyewe hata Mwenyezi Mungu hana habari nao!!!!!!


Sheria zote zilizopitishwa na bunge za kuwapendelea wawekezaji kutoka nje ni za kibaguzi na hivyo zinakiuka katiba ambayo msingi wake mkuu ni USAWA KWA WOTE.

Sheria zinafaa kufutwa na tuwe na sheria moja ya kodi kwa wote maana kuona mwekezaji kutoka nje ni bora kuliko wa ndani ni ubaguzi ambao unatengua misingi ya usawa iliyomo kwenye katiba yetu.


Utashangaa hata CAG haruhusiwi kujua ni nini kinaendelea katika uwekezaji kutoka nje ambao unagusa njia kuu za uchumi wa nchi hii ambalo ni jukumu la raia wote.

Mfumo tulionao ni majumuisho ya KLEPTOCRACY + KAKISTOCRACY = POVERTY + IGNORANCE + INCURABLE AILMENTS
 
MAMA AFTER THIS BLATANT SELLOUT CANNOT WIN THE 2025 PRESIDENTIAL ELECTIONS SO WILL NEED, AS A MATTER OF POLITICAL SURVIVAL, TO RETAIN THE ELECTION LAWS AS THEY ARE.


Our beloved Mama after selling all Tanganyika ports, and unspecified economic zones and transportation hubs for a song to Dubai sheikhs has emphatically lost the presidential 2025 vote so she has every incentive to massively rig the elections to keep herself and her voracious cronies in power.

From this well considered assessment, we are in position to eat and swallow a humble pie and retract our promised ringing endorsement because she has lost the election even before a single vote is cast. We cannot lie on this one.

The sheikhs petrodollars will be pumped to catapult her back to power to ensure their strategic economic interests in Tanganyika are never interrupted. That means even post 2025, the Arab Sheikhs will be major election players in picking our leaders. In fact, by a stroke of a pen, Mama has jettisoned our sovereignty for a pittance, and to regain it back, there will be in future plenty of meat grinder and qrotesque bloodshed to sacrifice.

We have a reason to believe her mind is made up so she is not gonna retreat from undermining our constitutional sovereignty and restores the status quo ante at any political cost. Regrettably, our founding fathers must be squirming, gnashing their bare teeth, and groaning in their graves. This is not Tanzania they were attempting to build for the next and next generations. They had sacrificed their lives for freedoms to their next and next kin but all of their toil is now in a shredder! What is unfolding before their very eye sockets is a horror movie they had meditated and prayed never to be compelled to watch.

In Tanganyika, she is now a quisling so she is politically damaged goods while in Pemba ideological considerations make her a pariah despite pulling TANROADS budget to build a couple of roads there and pushing out TANROADS boss who was adamantly remonstrating, and in Unguja she is not that popular. So, the vote in both Tanganyika and Pemba is less than 10% for her, while in Unguja, she has around 55% according to our projections. Without Tanganyika gigantic voting block on her lap, it is game over, and she has zero credible chance to retain her hot seat we must humbly concede.


Having this hindsight, we need to ask ourselves, is Freeman Aikael Mbowe dumb or has he been bought to keep the ambers of "mwafaka" burning since we know no such political suicide is in the CCM thinking? Without DEDs running the elections show, CCM is out of office, so why connive with CCM to surrender power while you know for it they were born for? This is their heaven, and needs no other for the hook or for the crooks?


We believe Mbowe is not that dumb but has been bought to lie to Chadema that he is working on election reforms while he knows no election law gonna be repealed because that will mean CCM lose not only the presidency but the Parliament and the local governments. That will never happen at the ballot box regardless of the true wishes of the electorate save for CCM losing a civil war which is very much off the table.

Paradoxically, life is sometimes a weirdo. Look at the nominal Freeman superficially the titular aspires for freedom, but in reality, the beholder is a slave of money, and what money can buy!


HERE IS OUR MAJOR PROJECTION BEFORE 2025.

Despite the African human rights Court momentus ruling that quashed and set aside the horrendous Tanzania Court of Appeal decision that had preserved the notorious DEDs to roughshod our elections we project our very executive pliant Parliament will not codify and domesticate the African Court ruling that had barred DEDs to massively rig our elections before the 2025 elections. This is a strategic decision to wantonly rig the elections perpetually while selling the national major means of economy for personal benefit.


What we have in Tanzania is KAKISTOCRACY + KLEPTOCRACY = POVERTY + IGNORANCE + INCURABLE AILMENTS
 
History is repeating itself.

From Berlin scramble of Africa now we have Arabian scramble for Tanganyika


Omans already have bought KIA

Dubai is gunning down everything else


Some defend Mangungo signed documents whose language he did not know but can we defend our gluttonous leaders with scrawling their signatures on documents whose language they do not comprehend?



 
UDSM makes oil discovery in Rufiji, Ruvuma




Summary.

The discovery comes at a time when the Tanzania Petroleum Development Corporation has started a geophysical survey (2D seismic) to identify areas for the drilling of deep wells for oil and natural gas research.
Dar es Salaam. The University of Dar es Salaam (UDSM) has discovered oil deposits in Ruvuma and Rufiji regions through a recent study in the areas.

UDSM conducted the study in order to get the country to stop relying on imported oil, which has recently been adversely impacted by the ongoing war between Ukraine and Russia.

For several months in a row, the war has caused the price of oil to climb in several countries. This had a significant impact on consumers, including an increase in the cost of goods across the board, until the government decided to step in to reduce the intensity by setting aside subsidies.
 
Muwe wa kweli nyie UK Diaspora mmelipwa ngapi? Mbona kwenye uraia pacha huwa kimya?


Machafuko yatakapoanza hoja za ufanisi na mapato zitaota mbawa.

Mashirika ya umma yapo kupunguza misuguano kwenye jamii na hii umuhimu wake unazidi hoja za tija, ufanisi na mapato.


Hoja yetu ni moja tu UHURU WETU WA KUJIAMULIA MAMBO YETU WENYEWE UTAATHIRIKA NA HILI AZIMIO LA BUNGE AMBALO LINATENGUA KATIBA NA SHERIA ZOTE ZA NCHI ISIPOKUWA YA UWEKEZAJI INAYOWANUFAISHA WAARABU WASICHANGIE CHOCHOTE KWENYE UCHUMI WA NCHI HII KWA KUTOLIPA.

Watajiingiza kuhonga ili wawe na ushawishi katika kupigakura na hivyo kutuchagulia viongozi wetu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…