New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Na dhana hii ya DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA inakinzana na neno la Mwenyezi Mungu ambalo linasema NENDENI MKAITAWALE DUNIA sisi kupitia katiba yetu tunasema TWENDE TUKATAWALIWE NA VYAMA VYA SIASA!

Haya ni makosa ya kiroho na kimwili pia na ndiyo maana tunaona kila sekta tumeikasimu kwa wezi na wabadhirifu.


Si wanasiasa si wataalamu si raia si wafanyabiashara wote ni wezi, waongo na wanafiki kutokana na mfumo hauwatumikii wananchi bali unawatumikia viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa.


Hatutapiga hatua kama hatutabadilisha mfumo uliopo na kuondokana na uwajibikaji kwa viongozi wa vyama vya siasa na kurejesha uwajibikaji kwa wananchi wa Tanzania kama mpango wa Mwenyezi Mungu kwetu unavyotuhitaji.
 
@Rutashubanyuma revisit your argument as of to date, were you correct or deliberately opted to go astray and start mocking the alternate opinions?

It is evident you failed to analyze and evaluate issues without bias

The Hier regime is staggering...................
 
It was about A BIG SPEECH not anything else!
 
Hatuwezi kuendelea na mfumo wa VYAMA VINGI VYA SIASA ambao umetugawa kwenye matabaka mawili.

Moja ni tabaka la watawala kupitia vyama vya siasa na la pili la watawaliwa ambao hawana vyama vya siasa.


Demokrasia lazima iwe ya wananchi wote wa Tanzania
 
DEMOKRASIA YA WANANCHI WA TANZANIA Itafuta sifa ya kudhaminiwa na vyama vya siasa ili kugombea wadhifa wowote nchini.


Hii itavunja nguvu ya vyama vya siasa kulea nidhamu ya woga ambayo imechangia mno kushamiri kwa kulindana, kuhongana na unafiki unaochochea wizi na ubadhirifu wa mali ya umma maana unaleta m'mom'monyoko wa uwajibikaji.
 
DEMOKRASIA YA WANANCHI WA TANZANIA itamaliza tatizo la majina ya wagombea kukatwa ili kupisha maswahiba wa viongozi wa vyama vya siasa kugombea nafasi zao kwani ukilikata jina hahitaji kujiunga na chama kingine bali anakusanya sahihi za wapigakura waliojiandikisha na wakifikia aasilimia 10 anazipeleka Tume ya Uchaguzi ambao chini ya sheria watamtangaza ni mgombea huria.
 
Kesho tutaangazia hoja ni kwanini tunahitaji Rais wa JMT ni lazima awe MTANGANYIKA na hawezi kuwa MZANZIBARA maana kwa kufanya vinginevyo tutakuwa tunajenga uwakilishi haramu.

Wazanzibara hawawezi kuwa Marais wa JMT kwa sababu tutakazozibainisha kesho....usikose kwenye huu uchambuzi tajwa
 
Idiots are everywhere.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…