New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Bandari ni wizi wa mali ya umma na wote wanaoutetea siyo mazezeta bali ni walafi. Wasichojua hawaendi mahali kwa Jina La Yesu Kristu Mungu wangu pekee Aliyehai ninawatabiria.

Wote watakufa ndani ya miaka 5 ijayo kwa magonjwa yasiyosikia tiba kwa Jina La Yesu Kristu nimewatabiria.


Tumechoka na kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wakati umefika wa kusema ENOUGH IS ENOUGH!
 
HUYU MAMA NI RAIS DHAIFU KULIKO WOTE TANGU TUPATE UHURU!


Tangia tupate Uhuru hatujawahi kuwa na Rais dhaifu kama huyu na kawaharibia wanawake wote nchini.


Hatujawahi kuwa na Rais kaligawa taifa kama huyu mama.

Hatujawahi kuona Rais anashupalia uwekezaji ambao umetukumbusha dini zetu ambazo tulikwisha kuzisahau.

Kuchochea misuguano ya kikanda, kikabila na kijinsia kama huyu mama.


Kazi kubwa ya Rais ni kuwaunganisha wananchi lakini huyu mama kwa sababu binafsi ambazo hazina masilahi kwa taifa anakaza buti kuwasulubu watanganyika kwa kudai bandari zao zisiuzwe.

Kila anayepinga nchi yao kuuzwa eti ni mhaini na anamweka lupango!

Tulimtegemea aamue kwa vile mimi siyo mtanganyika pengine siyo sahihi kuuza mali zao kwa waarabu lakini inalekea anatuchukia anataka kuhakikisha anauza kila kitu chetu kwa waarabu.

Na sijui baada ya kumaliza kuuza kila kitu itabidi nasi watuuze utumwani tukawe spea za viungo vya waarabu?

Samaki mmoja akioza wote wameoza.
 
Wewe toa povu lako sisi tunakwenda na Samia hadi 2030. Si ndio wewe uliyeanzisha huu uzi umeamua kujizima data?
 

😂
 
Wewe toa povu lako sisi tunakwenda na Samia hadi 2030. Si ndio wewe uliyeanzisha huu uzi umeamua kujizima data?

Mlisema na Mwendazake mitano tena iko wapi? Miaka 5 ikawa miezi 5. Huko hamtoboi kwa haya yanayoendelea HAMTOBOI hiyo 2030 hata 2025 ni majaliwa

Mtapata majibu yenu tena muandae machozi ya kutosha walakini msije mkatulaumu hatukuwaandaa

Hii dhuluma ni dhidi ya Mwenyezi Mungu na atawakemea nyote waliomo ma wasiokuwamo mtamsikia miilini mwenu


Hadi mtakapojua yuko Mwenyezi Mungu Muumba wa kila kitu na HAPANGWINGWI!

Aliyezima data ni yule aliyeuza bandari
 
WENGI HAWAJUI KUFUTWA KWA NDC NA NAFCO NI JANJA YA WATAWALA KUJIMILIKISHA ARDHI YA TAASISI TAJWA KWA MGONGO WA WAWEKEZAJI!


BIG PROJECTION: NDC & NAFCO TO BE DISSOLVED AND THEIR LANDS PRIVATIZED TO DUBAI COMPANIES

Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara.

Serikali itayafuta mashirika tajwa na kuwauzia ardhi yao kwa bure hata sumni hawatatoa.

Kinachopiganiwa hapo ni watawala kujimilikisha ardhi wao wenyewe kwa mgongo wa wawekezaji.

Kwa hii sera ya kuongeza mapato zaidi ya serikali huku raia wanafukarishwa kunachochea machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.

Ardhi ni eneo linaloajiri watu wengi kwa kuwamilikisha ardhi wageni na watawala maana yake ni kuzalisha umanamba wa vijana wetu.


Sijui tutazinduka lini nchi inauzwa kila siku na siyo lwa manufaa yetu
 
Tambua ufadhili ndio nyenzo kubwa ya uporaji wa Mali za Africa.

Wakati wa UKOLONI, maliasili za Afrika zilibebwa Kwa lazima.

Baada ya kuondolewa UKOLONI ikawa Sasa wanatumia mbinu mpaka za vita ili mpewe silaha muwapatie dhahabu na chuma na vingine.

Mambo ya vita yalipoisha, wakaona njia rahisi no kupata njia ya kupata viongozi puppets Kwa kuwapa fedha ya Rushwa ya uchaguzi.

Democrasia ya Sasa ya kununua kura imewapa njia Bora ya kutafuta viongozi wasio na akili ya UBUNIFU. Wanachofanya ni kuhamisha Mali za Afrika kupeleka ulaya na Kwa Sasa wametumia njianile ya waarabu kama zamani ili makampuni ya kiarabu yenye hisa kubwa toka magharibi yaendelee KUPORA Mali za Afrika.

Misaada ni lazima. Ukikataa misaada kifo kinakusubiri kama JPM.

KIBAYA ZAIDI ulichukua msaada Leo, kesho wanabadiri thamani ya Dola dhidi ya fedha zako.

Kwahiyo unajikuta ili upate Dola ya kulipa deni utapashwa kuuza bidhaa nje zenye themani kubwa ili kuziba pengo la Dola iliyochezewa kinamna.

Kwahiyo, ni ukombozi wankijeshi utakaotutoa huko au basi kubadiri namna ya democrasia ya uchaguzi.

Maana Kwa Sasa bila kupata fedha ya wafadhili huwezi kushinda uchaguzi.

Tumesikia DPW imeahidi baadhi ya watu kupewa fedha ya uchaguzi. Sasa viongozi makini na wenye uchungua na maliasili za nchi utawapataje.

African isiporudi kwenye DRAWING BOARD juu ya hii democrasia ya VYAMA VINGI na namna ya kuepuka fedha ya nje kwenye uchaguzi, sahau juu ya Afrika kujikomboa na kutoka kwenye minyororo ya utumwa wa fedha za misaada.

Na actually, hakuna misaada. Ni mikopo, madeni na ndoana za kuzimeza na lazima uzitapike.

TUNAKUPA Hela ya uchaguzi, sisi unatupa bandari zako zote au tupe tuchimbe madini yako ya uranium Kwa bei tuipendayo.

Maana ukipewa Hela ya uchaguzi, utairudishaje. Ndoana. Lazima uiteme. Itoke na mapafu, au ichukue roho. Hilo utajua wewe.

Kwahiyo sio kama MAKANISA. Kwa nchinza magharibi misaada ni SHAMBA ambalo wakiliacha watashindwa kuzihudumia nchi na watu wao.

Ndio maana marekani haina uzalishaji wa maana, ila Kwa kutoa mikopo, kucheza na Dola, Hela na Mali za wizi toka Afrika, vita na uuzwaji wa Silaha, suala la SWIFT CORD, ndo utajiri huo ambao wanatamba nao Kila siku
 
All in all Magufuli was the best President
Despite of the fact that He was a dictactor as you used to say,But he was working for the goodness of our Country.



Sent using Jamii Forums mobile app
It is very debatable but he gets top marks for understanding this country shall never be developed by foreigners like the neocolonial puppies we have


Every word which pops out of their mouth "kuvutia wawekezaji "

They fail to see those are thieves and looters. Do not care the welfare of their own countries how can they be trusted.

Their countries are in wildfires and our bimbos are bowing down to them as our saviors.

We have no Savior buy God!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…