Tunataka Rais ajaye awatimue wawekezaji wote ambao wako kwenye maeneo watanzania wanaweza hususani migodi yote, bandari, kilimo, misitu, viwanja vya ndege, mbuga za wanyama na utalii n.k.
Hizi ajira ni za watanzania na wala siyo vinginevyo.
Na iwekwe kwenye katiba ya nchi ya kuwa ajira kwenye njia kuu za uchumi ni za watanzania tu wageni hawaruhusiwi ili kulinda utu na ustawi wa raia wa nchi hii.