New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

A power struggle will immediately ensue, and he will be deprived of information to advise properly the appointer
 
His juniors will treat him with suspicion and that alone is sufficient to cook his goose
 
Our advise top appointments must respect institutional memory, hierarchy and technical know-how apart from loyalty
 
Resuscitation of dead civil service careers never popular to the insiders
 
What this appointment has done is to polarize the department unto shards
 
Even rigging elections may be difficult to execute when mistrust runs high in the corridors of James Bond
 
Based on this analysis we rule the appointment of new spy chief a poor judgment
 
Tomorrow we will investigate the appointment of the new deputy PM.
 
Ukiona Nape Nnauye naye ni Waziri hesabu huna baraza la mawaziri weye
 
Ukiona January Makamba naye ni waziri basi hesabu huna baraza la mawaziri weye
 
Ukiona mamlaka ya kikatiba ya waziri mkuu ya kuratibu shughuli za serikali kaporwa na akapewa ambaye hajachaguliwa na wabunge wengi bungeni kwa kazi hiyo jua huna utawala wa kisheria weye
 
Ukiona Silaa naye ni Waziri basi chukua jembe ukalime maana zaidi ya kufyagilia uwekezaji bomu wa waarabu hana la maana katika ujenzi wa taifa
 
Ukiona profesa Kitilya Mkumbo naye ni waziri na sifa yake kuu ni kuupigia upatu uporaji wa ajira za vijana wetu kupitia mwekezaji feki wa DP WORLD basi jua nchi haiko mikono salama yaani wanakula kodi zetu bila kutupatia tija yoyote ile
 
Huyo naibu PM tutamdadavua kesho tumwache kwa leo alale salama kiwe kiporo cha kesho
 
Wanaosema Nyerere na Mwinyi waliwateua Dr. Salim Ahmed Salim na Augustine Mrema kuwa Manaibu waziri wakuu tungependa kuwakumbusha katiba za wakati ule siyo hii ya sasa ambayo uwaziri mkuu huthibitishwa na bunge kwa mteule kupata zaidi ya nusu ya kura za wabunge wote na majukumu yake yameainishwa kiustadi zaidi

Mamlaka ya uwaziri mkuu ni ya kikatiba na yamewekwa bayana ikiwemo kuhusishwa katika uteuzi wa mawaziri, kusimamia na kuratibu shughuli za serikali.

Kama aliyepo anaonekana anapwaya ni kumwondoa na kuteua mwingine ila siyo hii hamirojo hailiki.

Rais hana mamlaka ya kumpunguzia waziri mkuu mamlaka yake ya kikatiba kama ilivyofanyika hapa.

Busara zitumike na kutengua uteuzi batili wa naibu waziri mkuu ni nafasi haiko kikatiba.

Tuna kero nyingi za ukatiba haramu msiendelee kuchochea marumbano ambayo hayana tija.

Sana sana ni mikwaruzano tu na migongano mnaibua kati ya nafasi za kikatiba na zisizo za kikatiba
 
Ummy Mwalimu naye ni waziri kweli tuna shida.

Sijui tunakwama wapi?

Anataka wazabuni wa madawa wa TZ kuwatafutia ulaji Botswana badala ya kuwatafutia viwanda vyetu vya madawa masoko ya madawa yao kukuza ajira, uzoefu na kuimarisha sekta ya famasia nchini
 

Attachments

  • PSX_20230831_193920.jpg
    PSX_20230831_193920.jpg
    215.1 KB · Views: 1
One military officer claimed Tanzania is 6th in military strength globally we rule it A LIE.

JWTZ is not even in top 100 global military powers.

In fact both Uganda and Kenya are placed higher than JWTZ.

JWTZ is ranked 18th in African strongest military strength.

Some debates not worthy the effort
 

Attachments

  • PSX_20230831_194746.jpg
    PSX_20230831_194746.jpg
    83.9 KB · Views: 1
  • PSX_20230831_194520.jpg
    PSX_20230831_194520.jpg
    98.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom