New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

The debt trap is like drug addiction. When you feel low you binge more drugs and when you are bankrupt you borrow more to repay the debts. It is a debt vicious crisis.

The government is essentially bankrupt. After defaulting on billions of dollars owed to foreign lenders in December, the administration of President Nana Akufo-Addo had no choice but to agree to a $3 billion loan from the lender of last resort, the International Monetary Fund.
 
Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mzigo wa madeni na sheria za kuwavutia wawekezaji kutoka nje.
 
Sheria za kuwavutia wawekezaji kutoka nje huandamana na misamaha ya kodi na hivyo kuhakikisha mchango wa wawekezaji hao kwenye uchumi wa nchi husika ni kiduchu kabisa
 
Mfano tu uwekezaji wa madini nchini mchango wake kwenye bajeti yetu ni chini ya 0.5% ya mapato wanayoyakusanya hao wachimbaji wakubwa
 
Sheria tajwa inalenga kulinyima taifa mapato lakini inajenga mazingira ya viongozi wa kitaifa kudai hongo kutoka kwa wawekezaji tajwa
 
Mfano tu wakati wa Mkapa wajua waziri wa madini alikuwa ni Dr. Abdallah Kigoda sasa ni Mwendazake.

Pia Kigoda alikuwa Mweka Hazina wa Taifa wa CCM kwa minajiri ya kuhamishia kodi kutoka serikalini ziende CCM kugharimia shughuli za chama na nyingine wanabana 😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀 😄 😁
 
Je wajua misamaha ya kodi iliyowekwa na bunge kwenye sheria iliwapa akina Kigoda ubavu wa kudai hongo kutoka kwa wachimbaji tajwa?
 
Je wajua baadhi ya hongo tajwa zilinunua magari ya nguvu kwa ajili ya kampeni za CCM za 2000?
 
Hivi waandishi wa habari walimhoji aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Polepole alipokuwa akitamba Katibu wa CCM wilaya anaendeshwa kwenye V8
 
Mbona hamkupiga mahesabu ya wilaya zote ambazo ziko 100+ na mkazidisha na bei ya V8 mpya mkapata jumla yake
 
Baada ya kupata jumla tajwa hamkumuuliza Polepole hivi CCM ina mapato gani hata kutumia zaidi ya trilioni kununua magari ya kifahari tajwa?
 
Unapoona msururu wa magari ya kifahari wa viongozi wa CCM serikalini huwa unajiuliza wameyapataje?
 
Upo uhusiano wa moja kwa moja kati ya serikali kushindwa kutumia mapato ya ndani kugharimia shughuli za maendeleo na kasi ya kukopa nje
 
Tunatofautiana rasmi leo ma Mheshimiwa Rais na aliyekuwa Spika Job Ndugai kuhusu kutukamua kodi au kukopa ili kuendesha nchi
 
Job alisema nchi itauzwa kama hatutakamuana kupata uwezo wa kugharimia maendeleo
 
Job aliona madeni ni ukoloni mamboleo ambao hatupingi lakini tunatofautiana naye juu ya utatuzi wake
 
Sisi tunaona sheria za kuwalinda wawekezaji ndiyo tishio la uhuru wa nchi hii siyo kushindwa kwa serikali kutubana na kutukamua hadi wananchi tushindwe kumudu gharama za maisha
 
Tunambeza rasmi Mheshimiwa Rais kwa tarumbeta lake mikopo ina manufaa
 
Back
Top Bottom