Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #10,041
Tutatoa takwimu za asilimia ya uzalishaji wa umeme kutoka kwenye mabwawa ya maji siku za usoni ili kuhodhi hoja yetu watu waanze kufikiri siyo kujidhalilisha wao wenyewe mitandaoni na kuongelea mambo kama wajuaji wakati hawajui lolote lile!