New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

 
Mbowe ni tapeli wa kisiasa ni vyema sote tukalitambua hilo.

Alibadilisha katiba ya CDM ili awe KAMUZU BANDA halafu anakuja kutushinikiza tubadilishe katiba yetu nzuri iwe kama ya Chadema.

Katiba yetu ni nzuri kuliko ya Chadema kwa sababu Rais ana ukomo wa kukaa madarakani wakati ya Chadema ina umangimeza.

Tufike mahali tuanze kuwaumbua hawa matapeli wa kisiasa bila kuwaonea soni.

Hata Tundu Lissu ni tapeli wa kisiasa kama angelikuwa mwadilifu na mwanamapinduzi wa kweli kinachomzuia kurekebisha katiba ya Chadema na kurejesha ukomo wa madaraka ni nini kama siyo uroho wa madaraka?
PSX_20240113_084820.jpg
 
Back
Top Bottom