[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad ametolea mfano kuhusu Corona,
Amesema tuna wataalam wakubwa wa afya na wasomi wakubwa wanaoujua ugonjwa huu,
Wengine wameuguliwa ama kufiwa ndugu zao kwa Corona,
Walitakiwa washauri ili hatua za Kisayansi zichukuliwe ili kunusuru wananchi na ugonjwa huu,
Lakini ili wamfurahishe anayewaongoza iliwalazimu waseme Tanzania hakuna Corona
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad akiwa anazungumzia changamoto alizopitia katika utumishi wake
Anasema alikwenda kukagua wizara moja, akauliza kuhusu matumizi ya Pesa fulani akaambiwa usikague matumizi haya,
Akauliza kwanini asikague matumizi ya fedha zile akajibiwa kuwa matumizi yake inajua Ikulu!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema kuna rushwa ya akili,
Anawafahamu watu wengi aliosoma nao ambao walikuwa na akili sana,
Walipoteuliwa kwenye nafasi za Uongozi wakawa hawana akili tena za kushauri na kuhoji badala yake wanafanya kazi vibaya ilimradi kumfurahisha anayewaongoza!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema alitoa ripoti ya ufujaji wa fedha lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema kuna Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta kubwa huwa anaitwa na Taasisi zinazohusika kupambana na Rushwa,
Akienda anaambiwa atoe fedha kama Milioni 60 au ngapi kisha baada ya miezi miwili mitatu wanamuita tena!
Prof Assad anasema hata hizi taasisi zetu zinazohusika kupambana na rushwa nazo zinakula rushwa!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad amezungumzia kuhusu kesi ya watu waliofoji nyaraka na kuiba zaidi ya Bilioni 13,
Ambao wamekubali makosa na kukubaliana na DPP kulipa Bilioni moja nusu (1.5 Bilioni)
Akina Kitilya
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasisitiza Lifestyle audit
Anasema mtu anapoingia katika utumishi wa Umma achunguzwe mali alizonazo na anapokoma atumishi wake achunguzwe mali alizonazo,
Tumuulize kwa ujira wa kazi yako uliwezaje kupata mali hizi?
Maelezo yake yakikosa uhalisia achukuliwe hatua!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: The system as whole does not deliver effective justice!
Prof Assad
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad
Amezungumzia kuhusu masuala ya Kesi za kubambikizwa, upelelezi unaochukua muda mrefu, kupotea kwa watu n.k
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasisitiza uwazi katika Serikali,
Ametolea mfano kwa rafiki yake wa Norway ambaye alimuonesha miradi ya Norway kwenye Simu,
Ukisearch mtandaoni unaipata lakini hapa kwetu ni siri!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema
Kuna watendaji walifoji ili kupata fedha nyingi za Sweden,
Lakini Sweden wakagundua
Walipogundua wakamjulisha Prof Assad,
Prof Assad akafanya upelelezi na kuchukua hatua,
Yule Msweden akamwambia hili litatoka kesho kwenye vyombo vya habari mbalimbali vya Sweden,
Prof Assad akauliza Kwanini wakati hili tumejadiliana wawili na tumeshachukua hatua,
Akamwambia email tunazoandikiana zinaonekana,
Hapa alikuwa akitolea mfano namna ya Serikali za wenzetu zinavyoendeshwa kwa uwazi!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema waliozinunua kwa Milioni 6 ni watu waliopo Serikalini na ndio hao hao walioiuzia Serikali kwa kujipangia na kujilipa wenyewe Milioni 260!
[4/11, 6:36 PM] +255 762 938 428: Prof Assad amezungumzia kuhusu ufisadi uliofanyika Kariakoo Gerezani,
Anasema kulikuwa nyumba za kiwango cha chini (Grade C) ambazo zilikuwa zikitumiwa na wafanyakazi wa Reli,
Serikali iliuza nyumba moja kwa shilingi milioni 6,
Baada ya miezi mitatu Serikali ilikuja na mradi wa Kituo cha Mabasi yaendayo kasi na kuziuza kwa shilingi milioni 260!
Sasa unajiuliza ni kama Serikali ilijua hizi nyumba thamani yake ni Milioni 260 ni kwanini iliziuza kwa shilingi Milioni 6?
Au kama hizi nyumba thamani yake ni Milioni 6 ni kwanini ilizinunua kwa milioni 260?
Prof Assad
[4/11, 6:37 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema nyumba za Serikali ziliuzwa Oysterbay, MIkocheni n.k kwa Milioni 30 tu, nyumba hizo hizo bei yake halisi ni Bilioni moja!
[4/11, 6:37 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema yeye alifanyiwa hivyo (alipewa bajeti na kuamriwa cha kufanya)
Lakini akili yake sio ya kutumika namna hiyo,
Akatekeleza majukumu kama anavyopaswa kutekeleza yakampata yaliyotokea lakini hakujali kwasababu alisimamia kilicho sahihi!
[4/11, 6:37 PM] +255 762 938 428: Prof Assad anasema
Unategemea nini ikiwa mtu anatoa Pesa kwa Jaji mkuu huku akisema nawapa Pesa hizi hakikisheni maamuzi ya Mahakama zenu yanazalisha Pesa nyingine,
Kutakuwa na maamuzi ya haki hapo?
[4/11, 6:37 PM] +255 762 938 428: Prof Assad amezungumzia kuhusu maadili
Anasema maadili yamekufa kabisa kwa baadhi ya watumishi,
Watumishi wanafanya kazi sio kwa kufuata taaluma zao na hawatumii akili yao kwasababu ya tamaa ya kupenda kuishi maisha ya juu hata kwa kuligharimu Taifa,
Anasema kama mlivyomsikia Polepole akizungumzia V8 hivyo ndivyo akili za wengi zinavyowaza,
Wanawaza kutembelea V8, kuishi maisha ya kifahari hata kwa kufanya yasiyostahili ilimradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao!
[4/11, 6:37 PM] +255 762 938 428: Prof Assad amezungumzia utendaji wa Jeshi la Polisi,
Amesema baadhi yao sio waaminifu na utendaji wao hauridhishi! Mediocre
[4/11, 8:17 PM] +255 754 463 493: Kumbuka humu ulisema Rais ameomba kuonana na mbowe[emoji23][emoji23][emoji23]nilikukanusha Sasa leo mwamba tuvushe amesema tunataka kumuandikia barua Mh Rais ili ikiwezekana tuonane nae [emoji23][emoji23][emoji23]nyumbu bwana zinakwenda tuu
[4/11, 8:18 PM] +255 754 463 493: " Tumemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuomba kuonana nae ili tuweze kuzungumza nae mambo mbalimbali yanayohusu mustakabali wa taifa letu " Freeman Mbowe akizungumza na vyombo vya habari Leo Aprily 11 , 2021 .
[4/11, 8:19 PM] +255 762 938 428: #UpdatesKishikaji
Kutoka kwenye Hotuba ya Freeman Mbowe
1. KUHUSU MIMI
[emoji117]Kuanzia tarehe 4/12/2020 nilikuwa nje ya nchi Kwa miezi minne.
[emoji117]Hii ilileta taharuki,na wengine walinizushia Kifo lakini sikuwa naumwa. Nilikuwa nje kibiashara na mambo ya Chama.
[emoji117]Nilienda nchi za nje kutafuta uwezo wa kufanya biashara nje maana Tanzania na JPM waliaapa sitaweza kufanya Biashara.
2. KUHUSU MAGUFULI
[emoji117]Miaka 5 ya JPM imetupa somo Kubwa. Lakini inatakiwa tufikirie Kwa utulivu ni yapi ya kuenzi na kukosoa,na tufanye hivyo Bila upofu wa itikadi zetu.
[emoji117]Kesho yetu iliyosalama na Bora hatuna Budi kufikiria tulipotoka,tulipo na tunapokwenda.
[emoji117]Hotuba yangu itafikirisha Taifa Kwa Yale yote ya miaka 5 tuliyokubali kuchezewa na Kikundi cha Watu wachache,wakainajisi nchi, Serikali, taasisi yake na katiba yetu.
[emoji117]Hatupaswi kuruhusu U-Magufuli kurudi tena Tanzania.
[emoji117]Hayati Magufuli atakumbukwa Kwa mazuri na mabaya mazuri Ni haya mawili;maamuzi magumu na kucctiza Kaz
[emoji117]Magufuli na Chama cha mapinduzi walitumia nguvu kubwa kuficha ukweli
[emoji117]Taifa limeachwa kwenye maumivu makali Kwa kuharibu mifumo ya kiutawala,hakuheshimu haki za binadamu, hakuheshimu mawazo ya watu, hakuheshimu upatikanaji wa Utendaji.
[emoji117]Aligeuza Serikali kuwa tawi la CCM. Aliamini watumishi wa Umma lazima wawe CCM. Akajaza watendaji wa serikali kutokea CCM.
[emoji117]Aliwaajiri watendaji na kuwataka wahakikishe CCM inashinda kila Uchaguzi. Aliaagiza RCs na DCs kuweka watu ndani.
[emoji117]Aliamini Sana matumizi ya ziada ya Majeshi yetu. Alijijengea Sana ulinzi ambao ulizidi miapaka ya kawaida unayowezae kuifikiria.
[emoji117]Silaha za Kivita,Doria za nchi kavu an anga,makomandoo, Askari kanzu na Majeshi mengine ambayo hatukuyajua. Uzio wa Chuma uliosafirishwa kila alipokuwa.
[emoji117]Mkuu wetu wa Majeshi,Polisi,Zimamoto,uhamiaji na usalama wa Taifa wote waliandamana na Rais popote alipokuwa. Hakuheshimu kabisa bajeti ya Serikali.
[emoji117]Deni la Taifa lilikuwa kuwa Kasi ya kawaida. Mpaka sasa Deni la Taifa linazidi Kwa trillion 60.
[emoji117] Hakuheshimu wajibu na nafasi ya asasi za kiraia. Watanzania wenzangu Hatupaswi kuruhusu haya tena. Na haya yanamhusu Hadi yeyote atakayeongoza nchi yetu.
3. KUHUSU BUNGE
[emoji117] JPM alidhibiti Bunge Bila kujali ni mhimili unaojitegemea. Bila hofu aligawa Rushwa Kwa wabunge wa CCM,ili kupitisha Bajeti au Sheria mbovu. Najua Hadi kiasi alichokuwa anawapa. Na kama watahitaji ushahidi tutauweka hadharani.
[emoji117]Wakatunga Sheria z kuwalinda;Rais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu,Spika na Naibu Spika. Kupitia Spika alitengeneza Bunge kuwa Chombo cha kumtukuza.
[emoji117] CAG aliondolewa Bila utaratibu na Ndugai alisikika akisema atamuongezea JPM muda,alizuia hotuba za wapinzani.
[emoji117]Aliruhusu kukiuka katiba waziwazi na kuwaruhsu watu wasio na vyama vya siasa kuwa wabunge. Muda utazungumza
4. KUHUSU MAHAKAMA
[emoji117]Wakati wa JPM hakuheshimu mhimili huu
[emoji117]Majaji walitumika kuhujuma haki ya raia Kwa maelekezo ya Serikali.
Kuhusu Siasa
[emoji117]JPM hakuwa muumini wa Demokrasia,alitesa na kuumiza wenye Mawazo mbadala na Chadema tumekuwa wahanga.
[emoji117]Alidhibiti hadi Demokrasia ndani ya Chama Chake na alitamka hadharani kuwapoteza wale wanaoenda kinyume na yeye.
[emoji117]Alipinga rushwa mdomoni lakini alikuwa muumini wa Kutoa rushwa;alinunua Wanasiasa wa upinzani, wakosoaji na alitumia vyombo vya serikali.
[emoji117]Tume ya Uchaguzi na CCM waliichezea tume hiyo. Wakashirikiana kuvuruga daftari la wapiga Kura na kuiba Kura kwenye uchaguzi.
[emoji117]Uchumi wa Nchi yetu uneyumba. Umeathiriwa na mifumo mibovu ya Kodi. Wawekezaji walinyang'anywa mitaji.
[emoji117]23/11/2018 Mimi na Esther Matiko tuliondolewa dhamana kwenye kesi ya Uchaguzi tukapelekwa gerezani Segerea. TRA wakaniandikia barua ya kuidai Kampuni yangu billion 02, Kiuhalisia haikuwa kweli. Wakanipa siku 30 za kupeleka pingamizi mahakamani.
[emoji117]Wakafunga Kampuni,Wakafunga akaunti za Biashara na Hadi akaunti zangu binafsi. Baada ya Samia kuingia madarakani wananitumia SMS eti akaunti zangu zimefunguliwa lakini hawajasema fedha kiasi gani wamechukua.
5. KUHUS COVID
[emoji117]Tanza ilionekana kituko kwa kupuuza sayansi na kuamua kutumia tiba za asili zisizothibitishwa. Mawaziri wakabaki kuhubiri nyungu.
[emoji117]Kuna watu wamekufa vifo ambavyo vingeepukika. Tumepoteza viongozi ambao pia waliipuuzia Corona.
[emoji117]Naomba Samia alikimbize Jambo hili Kwa haraka. Mimi binafsi nimechanjwa Chanjo ya Astrazeneca maana nilikuwa kwenye nchi zinazolitambua hili.
[emoji117]Samia aunde ile Kamati alosema Kwa haraka. Hata kama hatuna wataalamu wa kutosha basi ajaribu kuchanganya na wa nje.
6. KUHUSU DIPLOMASIA
[emoji117] Serikali ya Awamu wa 5 iliharibu diplomasia iliyojengwa na watangulizi wa JPM Kwa miaka ya nyuma.
[emoji117] Rafiki zetu WA muda mrefu hawakuheshimiwa. Tukaanza kuita watu mabeberu. Lakini hao mabeberu ndo wanatupatia Dawa ZA polio,Ukimwi,nk.
[emoji117]Unafiki,Ujinga,Umasikini na Uoga umetufikisha hapa tulipo. Utawala wa Awamu ya 5 umeiumiza na kuipasua nchi yetu Kwa kiwango cha kutisha.
[emoji117]Chama cha CCM hakiwezi kukwepa lawama hizi. Kimebariki kila aina ya ukatili baada ya kujihakikishia watabaki Madarakani hata Kwa kutumia vyombo vya Dola. Taifa linawadai CCM.
[emoji117]Makundi mbalimbali yalijenga Unafiki wa Kumtukuza JPM;Makanisa, Vyombo vya habari,nk.
[emoji117]Bila hofu Serikali ilipora uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu. Tunaongozwa na watu tusio wachagua.
7. KUHSU SAMIA
[emoji117]Baada ya kuapishwa alisema katika kipindi cha muda wote wa maombolezo tunatakiwa kuzika tofauti zetu,na Si wakati wa kutazama yaliyopita Bali tutazame yajayo.
[emoji117] Sisi CHADEMA tumeuandikia barua ya kuonana naye,bado mioyo Yetu inavuja damu,na tumemuomba kuonana naye ili kumueleze jinsi tunavuja damu. Hatupo kwenye biashara ya siasa bali kujenga Tanzania iliyo Bora.
[emoji117]Rais wetu alikuwa mshiriki namba mbili wa serikali ya Awamu ya 5,Kwa vyovyote vile hawezi kukwepa lawama ZA uozo wa serikali iliyopita. Lazima Pawe na collective responsibility.
[emoji117] Nyerere alizungumza dhana ya kujisahihisha. Rais Samia ana nafasi ya kujisahihisha. Ana doa,ana uchafu na ana damu za Watu. Huenda mengine hakuyajua lakini Sisi tunamuomba asimame aliombe Taifa ladhi.
#UpdatesMadini