New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

BE WARNED

Stay at Home

From: A DOCTORS' GROUP KMA

Tafsiri ya haraka na Isaac Mruma.

UNAONYWA

Baki Nyumbani

KUTOKA KWA: MADAKTARI

Kirusi kimerudi , na wakati huu kimekuja na nguvu zaidi, mbinu za ziada na kwa kificho.

Hatukohoi, Hakuna homa: ni maumivu tu ya viungo, kuishiwa nguvu, kupoteza hamu ya chakula na homa ya mapafu (nimonia) ya UVIKO (COVID)!
Kiukweli, idadi ya wanaofariki ni kubwa zaidi; ina chukua muda mfumo zaidi ugonjwa kufikia hali mbaya.
Wakati mwingine hakuna dalili za ugonjwa.. tuwe makini.

Hii ya sasa haijitokezi kwenye sehemu za pua na koo!
Inaathiri mapafu, hivyo inachukua muda mfupi zaidi.

Kuna wagonjwa kadhaa wasio na homa; lakini taarifa za eksirei zinaonyesha wana niumonia ya kifua!
Kipimo cha kupitia puani hakionyeshi UVIKO 19 (COVID 19)!

Hii inaonyesha kiruai kina kwenda moja kwa moja kwenye mapafu. Ndio maana hiki cha sasa ni hatari na kinaua zaidi.

Kuwa makini na epuka sehemu zenye mikusanyiko; baa Barakoa, Njawa mikoani yako mara kwa mara.

WIMBI hili la nirudi ni la hatari lilipo la kwanza na la pili. Hivyo tunawajibika kuwa makini sana na * kuchukua tahadhari zote*

Sambaza ujumbe huu wa watu wengi iwezekanavyo, kwa marafiki na Familia.

Tafadhali chukua tahadhari na uwe salama!

BE WARNED

Stay at Home

From: A DOCTORS' GROUP KMA

The virus is back, this time with more energy, tactics and camouflage.
We don't cough, No fever, it's joint pain, weakness,
Loss of appetite and Covid pneumonia!
Of course, the death rate is higher, it takes less time to get to the extreme. Sometimes no symptoms ... let's be careful ...
The strain is not domiciled in our nasopharyngeal region!
It directly affects the lungs, which means window periods are shortened.
I have seen a number of patients without fever, but an x-ray report shows moderate chest pneumonia!
The nasal swab is often negative for COVID19!

... which means that the virus spreads directly to the lungs causing acute respiratory distress due to viral pneumonia! This explains why it has become acute and more fatal.

Be careful and avoid crowded places, wear a face mask, wash your hands often.

WAVE more deadly than the first and the second. So we have to be very careful and take every precaution.
Please become an alert communicator among friends and family.

__________
DO NOT keep this information to yourself, share it with your family and friends.
Please take care and stay safe !

As Received
 
Mchakato upi?
PSX_20210626_134419.jpg
 
Back
Top Bottom