New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

China guilty as charged!
PSX_20210627_001003.jpg
 
Hii sasa ni familia ya wabunge lakini madai ya watoto siyo kanisani na hakuna mapingamizi ya aina hiyo. Matunzo ya mtoto ni ustawi wa jamii au mahakamani au vyote.

Mapingamizi ya asioe au kuolewa ni kama ni mumeo au mkeo na kanisani unapekeka amri uliyopewa na mahakama siyo kuliomba kanisa lichunguze na kuingilia uhuru wa mahakama.

Na huu mgogoro siyo pingamizi la kuwazuia wasioane bali ni kuwadhalalisha maharusi watarajiwa...


PSX_20210627_003612.jpg
 
Back
Top Bottom