Ni kuwa cryptocurrency lengo ni kupunguza nguvu ya serikali, mabenki na makampuni ya tekinolojia kwenye mizunguko ya fedha na kusambaza faida ya wao kuhodhi hiyo mizunguko. Sasa watu binafsi walianzisha digital currencies zao na zote huanzisha mizunguko kwa kuzitoa bure lakini kadri watu wanavyojiunga thamani yake hupanda.
Kwa mfano, mwaka 2008 Bitcoin walipoanza wanachama waanzilishi walipewa mtaji wa Bitcoins 5, 000 wengi nikiwemo mimi tulidharau tukidhani haitaweza kumudu ushindani. Leo ndiyo hela ghali kuliko zote duniani na haishikiki.
Sasa, tofauti ya PICoins na Bitcoin ni kuwa PICoins lengo lake ni kuwafikia watu wa kawaida ili mzunguko wake uwe mkubwa kuliko mizunguko yote.
Kwa kutumia APP hii kwa miaka miwili na nusu tu, PICoins ina wanachama 23 Mill. Lengo wanachama watakapofikia 100 Mill PICoins itaingizwa sokoni na kuanza kununuliwa na kuuzwa kama fedha nyingine.
Hivyo, itakapofika Mill 100 hakutakuwa na PICoins za kuvuna au hata zikiwepo zitakuwa kidogo sana.
Changamoto yetu ni kuivuna wakati haina thamani ili itakapokuwa na thamani tuiuze. Inatarajiwa itakapoingia sokoni itaanza kwa PICoins moja kuuzwa au kunuliwa kwa $100. Na itapanda ndani ya miaka 5 kufikia +$ 50, 000. Hayo ni makadirio tu.
Sasa sisi ni kuhakikisha APP hii iko kazini masaa 24 na kubonyeza ile alama ya kwanza yenye picha ya charger au radi ili iwe kijani na kuangalia kama APP inavuna.
Pili, ili kuvuna kwa kasi itabidi tuwaongeze wanachama na wanapovuna na wewe wavuna 10% ya mavuno yao.
Mfano kama utaweza kuvuna PICoins 5,000 na bei ni $1000 huoni ukiziuza zitakuwa $5M ambazo hukutoa hata senti moja kuzinunua bali ni MBs zako na kuitangaza wajiunge. Hilo tu.
Sasa risk iko wapi zaidi ya MBs zako tu na ufuatiliaji kuitangaza?
Jiunge kabla hujachelewa ukaachwa kwenye mataa na utakaposhtuka ukakuta PICoins zinauzwa moja $65, 000 na wewe ungelikuwa mwanachama mwanzilishi ungevuna mamilioni ya madola. Gharama yako ni MBs zako na kuitangaza wajiunge wengi ili uvune zaidi
I am sending you 1π! Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 23 million members worldwide. To claim your Pi, follow this link
Pi Network and use my username (asakila) as your invitation code.