Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #7,081
Wapinzani wakiri wenyewe Samia kazi iendelee 2025. Wamsifu kwa uchapa kazi, karejesha utu wa mtanzania, haki inatiririka kama gharika. Sasa kazi ni moja tu: Tumuunge mkono akamilishe ajenda zake hadi 2030. - Mbowe CDM.