New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Pyrrhic victory.
IMG-20220623-WA0023.jpg
 
20 years from today they will thank CCM government for the vision and the care not available elsewhere.

You gonna be filthy rich just soldier on with unswerving hope and fortitude. Ngorongoro was holding you back now even the sky no longer a limit.....


289470702_444531967497616_8140764552061213934_n.jpg
 
During the 2020 elections, the role of the military remains its nadir. However, during presidential transition which literally affects no CCM interests but individual ones the men and women in uniforms did their part.

We can rule out the respect of constitutional order but sustaining CCM stay on power is what drives the military.



PSX_20220623_201358.jpg
 
Ask before you display your folly. I am not CDM to begin with!

Am CCM 100%. And, we didn't win the election because we did not count the votes we just announce the results we wanted and it is a poorly kept secret. No news, at all.
Aged people like you are always full of shit and you are the source of this country to not develop.
 
Kwanini wateule wa Rais wanaongoza kwa wizi na ubadhirifu wa mali ya umma?

Nyerere alikiri kwa kinywa chake tatizo la nchi ni uongozi bora lakini hakujua la kufanya ili alitatue. Nyerere utetezi wake baada ya kustaafu ulikuwa hawakuwa na uzoefu wa kuendesha nchi kwao ilikuwa ni "mafunzo kazini".

Mwinyi alijitetea taarifa anazopelekewa za kufanya teuzi nyingi ni potofu lakini hakujua ufumbuzi wake uko wapi!

Mkapa aliona ufumbuzi ni uwazi na ukweli lakini aliishia bila hata kujenga miundombinu ya kuutafuta, kuupata na kuutumia huo uwazi na ukweli kwenye teuzi za utumishi wa umma. Mkapa utetezi wake baada ya kustaafu ulikuwa kama angelipata nafasi nyingine ni eneo la ubinafsishaji tu angelivalia njuga na kulishughulikia kivinginevingine. Hakufafanua! Maeneo mengine hakuona shida. Kila kitu kilikuwa murua tu!

JK aliwaita viwavi jeshi lakini hakujilaumu mwenyewe kwa uteuzi mbovu! Hadi leo hajajitetea hivyo twachukulia hana malalamiko au utetezi. Merikebu iko mahali yake na inakata maji bila mrama.

Mwendazake alikiri ndani ya CCM kuna "mijizi" lakini aliendelea kuwajaza kwenye teuzi zake zote!

Mama alitoa maagizo makali ya waache kudokoa lakini hakuna msikivu na kaishia kuwasimamisha kupisha uchunguzi wa mambo ambayo hayahitaji kuchunguzwa kisiasa bali kuripotiwa kwenye vyombo husika kwa hatua za kisheria.

Wizi na ubadhirifu wa kutisha sasa unachukuliwa hatua za kisiasa zaidi na kutafutiwa majibu ya kisiasa badala ya kisheria.

Tume ya Warioba katika uwajibikaji wa wateule wa Rais iliruka kimanga ikidai siyo swala la Muungano huku wakijigonga kama walevi fulani hivi kwa kutamka Rais ataendelea kuwateua bila kuwajibika kwenye Bunge isipokuwa waziri mkuu tu kama walivyoikuta teuzi hiyo labda na Jaji Mkuu! Kama ni kweli siyo swala la Muungano kwanini walisema teuzi za viongozi wa serikali za mitaa ni jukumu la Rais?

Kifupi, Warioba na wenzie walikuwa na mamlaka ya kurekebisha kero nyingi kuhusiana na mitaa ndani ya hadidu za rejea walizopewa lakini hawakutaka kuzitumia na kuishia kuzikana!

Tume ya Warioba ilikiri maoni ya raia walitaka mamlaka ya Rais yapunguzwe wao wakamwongezea na wakaweka utaratibu mgumu zaidi wa Bunge kumwajibisha kuliko hata ilivyo sasa! Mbaya zaidi kwa tume ya Warioba ambayo wapinzani waona ni muarobaini wa matatizo yetu walishindwa kuonyesha kwenye rasimu yao ni vipi mamlaka ya Rais ambayo ndiyo chemu chemu ya wizi wa kutisha unaobubujika ndani ya serikali za mitaa yalibinywa! Bunge kuwathibitisha katibu mkuu kiongozi, jaji mkuu kweli ndiyo kuyapunguza mamlaka ya Rais kwenye nyanja ya uteuzi au ni gheresha tu? La ajabu wapinzani na wanasheria feki kama Tundu Lissu wanasema katiba mpya ianzie kwenye rasimu mbovu ya Warioba na wenzake!!!!! Hili swala ni zito kwani linahoji upeo wa wapinzani kama kweli wako tayari kukamata dola....au ni wasaka tonge tu. Ndiyo maana hatupigwi butwaa pale tunapowaona wapinzani wakijichekeshachekesha na kupiga mipicha isiyo na tija na watawala ikiashiria zaidi kurushiwa ulaji serikalini ili kuwaziba midomo waache mayowe yasiyo na tija ya katiba mpya....ambayo hata rasimu yake bado maudhui yake hawajaiandaa!

Hatujui upeo wa Tume ya Warioba ukoje pale walipogwaya kufafanua nini maana ya Rais kupunguziwa mamlaka ya uteuzi!

Wapinzani wanadai katiba mpya wakati katiba za vyama vyao ni mfano tosheleza wa udikteta, uroho wa madaraka na kujilimbikizia mali na madaraka. Huko ni kiza mwororo. Ukiwatumbua hurukia utetezi usiyo na makalio eti chama chao bado ni kifaranga. Sasa mtoto mwenye malezi mabovu akikua si ndilo jambazi la kutisha? Kabla hujadhamiria kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio ondoa kwanza uchafu kwenye jicho lako ni busara tuliyopewa na Muumba. Pia Muumba ametamka asiye mwaminifu kwenye mambo madogomadogo kama usimamizi wa vyama vya siasa ni zezeta yupi huyo atawaamini mambo nyeti kama kuendesha nchi? Mfano linganishi ni kama nyeti zako huzithamini ni bwege yupi atakuamini umjali?

Mbaya zaidi hata hiyo katiba mpya wanayoidai hawajachukua wasaa kuiandaa hata rasimu ill tuone upya wake tutakapoilinganisha na hii katiba iliyopo!!!!. Hawana rasimu hadi leo na hili linadhihirisha upeo wa wakata viuno wa Bilicana. Ukiwauliza rasimu ya katiba mpya iko wapi hudai wanataka wakae na sisi tusiyoihitaji tuiandike! Mambo ya kipuuzi kabisa.

Tuonavyo

Nchi ni muflisi wa kutupwa wa uongozi bora. Tuna bidii ya kutosha kwenye porojo lakini utendaji bado hakuna mwelekeo ndani ya serikali na nje ya serikali. Hakuna hata dalili ya kutoka kwenye hili tope tulilonasa bila maombi.

Pili, mamlaka ya teuzi zote za serikali za mitaa bado tunasisitiza serikali kuu imeshindwa kuteua viongozi bora tangia tujitawale na hilo jukumu ni wakati mwafaka likarudishwa kwa wananchi wenyewe waamue ni nani awafaa bila kurubuniwa au kuchakachuliwa.

Tatu, bila ya madiwani kuwa na mamlaka ya kuteua na kufukuza waajiriwa wote kwenye maeneo yao na kuendelea kuiachia serikali kuu ambayo hata haiwajui inaowateua na kuwaachia madiwani kuwasimamia wezi ni kuendelea kuhalalisha huu wizi na ubadhirifu wa kutisha kwenye serikali za mitaa. Hili ni tatizo la kimfumo zaidi na linahitaji utatuzi wa haraka iwezekanavyo. Hakuna kuuchapa kwenye hili au ugumu wa maisha utawaumbua mchana kweupe. Mtatafuta pa kujificha msipaone.

Tumefika hatua tunamsifia waziri mkuu kwa kuwasimamisha kazi wezi na wabadhirifu badala ya kushinikiza awajibike kwa kutokuwa mbunifu na kuzuia matukio kabla hayajatokea. Hatua zinazochukuliwa hadi sasa zinachochea maovu kwenye utumishi wa umma badala ya kuhamasisha mwenendo sahihi.

Nne, wakati wa makada wa CCM kuendelea kutesa kwenye serikali za mitaa ukome au itafika mahali utoaji wa huduma kwa wananchi utakoma na kubakia ngonjera za simamisha simamisha kupisha uchunguzi badala ya kujikita kwenye kutatua kero za wananchi. La kusikitisha zaidi, gharama ya mwizi ni ndogo sanaaaaaaa kiasi kwamba mwizi hataacha au hatua tajwa kutumika kutoa mfano wa kuwakatisha tama wezi watarajiwa wanaojulikana ma wasiyojulikana....

Dalili zipo wazi katika chaguzi zetu. Tumefika hatua mpigakura ni picha tu kwenye uchaguzi maana maamuzi yake hayaheshimiwi.

Ukiishafanikiwa kumwondoa mpigakura kwenye usimamizi wa nchi jua fika unakoelekea ni vurugu. Kwa lugha nyingine unajenga mazingira ya patamshike ambayo itakapokomaa hao polisi unaojivunia watafika mahali hawataweza kuhimili mapigo. Maana yatayotokea yatakuwa na nguvu ya Mungu ambaye atakuwa kachoka na vilio vya wanyonge wake.

Hivi haya manung'uniko ya ugumu wa maisha huku viongozi serikalini wanatafunatafuna tu bila uwajibikaji wadhani wanamlilia nani? Kama unadhani ni wewe basi tuko taabani sote kiufahamu wa kiroho.
 
Mimi nampenda Yesu Kristu na kwa vile ninampenda nitamtumikia kwa akili yangu yote, nguvu yangu yote na utashi wangu wote. Eee Mungu nisaidie. Nikimtumika Mungu nimewatumikia viumbe vyake na wala siyo vinginevyo.




Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu🥹


1.TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani Shinganya.
2.URAFIKI,Nguo 3.MWATEX, Nguo
4.KILTEX,Nguo
5.MUTEX, Nguo
6.POLYTEX- Nguo, vitenge
7. MOROGORO CANVAS - MAGUNIA, MATURUBAI
8. MOROGORO SHOES- VIATU
9. MOROGORO TANNERIES- NGOZI.
10.MWANZA TANNERIES- NGOZI.
11.BORA SHOES- UTENGENEZAJI WA VIATU.
12. KIBO MATCH FACTORY- Viberiti.
13. NATIONAL, MATSUSHITA, PHILLIPS- Utengenezaji wa batteries, radio na radio cassete.
14. PAMBA ENGINEERING- Uchongaji wa vipuri vya mashine za uchambuaji pamba.
15. SIDO - Shirika la kuhudumia viwanda vidogo
16. Kiwanda cha kubangua Korosho Mtwara
17.Viwanda vya kusindika na kubangua , Kahawa, Alizeti, Pareto, Karanga na Miwa.Morogogo/Kilimanjaro/Singida
18.Kiwanda cha vipuri vya mashine cha Mang'ula
19.Kiwanda cha vipuri za mashine cha Kilimanjaro
20.Kiwanda cha malori (kuunda mabasi na malori) cha Scania.
21.Kiwanda cha magari cha Nyumbu cha jeshi Kibaha.
22. TANALEC- kiwanda cha kutengeneza vifaa mbalimbali vya umeme.
23. Kiwanda cha karatasi cha Mgororo Mufindi mkoani Iringa.
24. Kiwanda cha kusindika na kusambaza maziwa cha UTEGI mkoani Mara.
25. Kiwanda cha usindikaji wa nafaka cha National Milling Corporation cha Dar-es-Salaam.
26.Tanga Steel Rolling Mill- vyuma, saruji na mabati.
27.Viwanda vya saruji vya Tembo Cement, Twiga Cement, Simba Cement pamoja na vile vya ALAF na GALCO.
28.Kiwanda cha zana za kilimo - UFI
29. Kiwanda cha madawa ya binadamu cha KPC - Keko Pharmaceutical Company.
30. Viwanda vya Bia vya Dar, Ndovu na Pilsner Arusha
31. Kiwanda cha Mvinyo Dodoma
32. Kiwanda cha matairi cha General Tyre kilichopo Arusha
33. Kiwanda cha katani cha Amboni mkoani Tanga.
34. TIPER - kiwanda cha kusafisha mafuta machafu, kusambaza mafuta ya dizeli, petrol na mafuta ya taa.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom