New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Shalom wapendwa Wazazi na Walezi ,Mungu ni mwema. Imefikia tena Wakati Watoto Wetu wananakiwa Warudi nyumbani tar 31/05/2023 kwa Mapumziko.
Nakuomba Sana
1. Simamia Mwanao afanye kazi zake zote alizopewa na Waalimu.
2. Mpangie kufanya kazi ndogo ndogo za bustani, kufua, kuku,mifugo nk usimlee kama yai! labda kama una bima ya kuishi nae milele. Mfundishe ajitegemee siku ukiondoka ghafla asitaabike sana kujua la kufanya.
3. Ongea na mtoto wako juu ya matumizi ya simu na TV mwambie huko ulaya watoto wengi hawapotezi muda, kila sekunde yao ina shughuli. Movies na simu asilimia kubwa ni kumpoteza mwafrika na mtu mjinga. Huwezi kufuatilia Series 400 ukawa timamu lazima kuna shida mahali katika Ubongo.
Waambie kuwa dk 1 ya jana alopoteza haitajirudia milele na kuwa kuna wakati watautamani muda wa leo na hautarudi.
4. Ongea na Mwanao juu ya masomo na malengo yake ya mbele na je yatafikiwa!?
Muulize juu ya aina za marafiki zake, mwelekeze kwa upendo.
5. Mwambie mwanao dunia imevua utu na ubinadamu, mweleze juu ya Ushoga athari zake, hata na Upuuzi wa Elon Musk ili ajue achague nini duniani humu.
6.Mweleze mwanao juu ya familia yenu, wengi hawajui hata majina ya babu na bibi zao, hata wajomba na shangazi zao, ukifa ghafla ndo atapata nafasi ya kuwafahamu wanapoombwa kuwasaidia kumaliza shule, tafadhali kipindi hiki wakawasalimie bibi na babu pia.
Mfundishe Mwanao kupika hata ugali wa mchicha wengi ni tatizo. Kama una muda mfundishe kuendesha gari kuna siku atakuokoa utakapohitaji huduma ya haraka na huwezi kuendesha gari.
Mwisho mfanye mwanao awe rafiki, we si polisi, mwanajeshi, mkuu wa shule, mkuu mkuu yeyote usipeleke ukuu/ cheo, utajiri nyumbani. Watoto wanayo mengi wanataka kuwashirikisha tafadhali wapeni muda.
Waeleze pia kama haupo kesho unapendelea waishije au waweje.
Wafundishe matendo ya huruma hebu wapeleke vituo vya yatima, Wazee hata waliopo jirani na Sukari kg 1 tu waongee nao utaona mabadiliko watakayokuwa nayo katika kuwaza na kutenda baada ya hapo. Kumbuka hao watoto ni wako kwa jina ila Mungu amewapitisha kwako ili wakuzwe kuhudumia watu wengine, hata wewe unahudumia wengine katika kazi yako.
BWANA MUNGU awabariki na Kuwalinda. [emoji1319]

Rev Nixon Kowero Headmaster
Msufini Secondary
Kilimanjaro Tanzania [emoji1241]
 
Kagera region is both geographically and economically challenged thanks to CCM policies of impoverishment

I have witnessed kids running without apparel! Nocturnal activities revolve around stealing neighbourhood matoke and coffee just to make ends meet.

Dudumuzi played part but government deliberate policies take a lion's share of blame.
IMG-20230530-WA0002.jpg


Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
LNG legislation is not to serve us but to continue condemning us as slaves of our colonial masters.


We have no local market for the LNG but European Market is closing in on us!

Our wealth is being sold against fiats which have no value, at all!


How can we ever be rich if local resources are not dedicated to create local jobs but to shift away those jobs to Europeans?


Later, the same people designated to impoverish us always come back to raise alarms about joblessness is a petrol bomb ready to blast destroying everything in its path?


But who brews unemployment is the same town crier is what shocks some of us.
PSX_20230531_150858.jpg
 
Spousal battery never resolves underlying relationship struggles.


Better seek peace than conflict that may destroy whatever happiness you still have


If confronted with sexual immorality, the best way out after irreconcilable differences' persistence just back off....


If you opt for domestic violence, the law will unrelenting pursue you until it brings you to justice.


You may run and be a fugitive, but like all criminal suspects, peace of God will evade you.

It is not worth it.




PSX_20230531_164657.jpg
 
"HII NI COPY AND PASTE KAMA ILIVYO",

Leo watoto wamefunga shule, kwenye group la WhatsApp la Darasa, Mwalimu ametutumia ujumbe huu, nikaona unaweza kuwa msaada kwa wengi [emoji116]

Wapendwa Wazazi na Walezi ,Mungu ni mwema.

Imefikia tena Wakati Watoto Wetu wananakiwa Warudi nyumbani tar 31/05/2023 kwa Mapumziko.

Nakuomba Sana:-

1. Simamia Mwanao afanye kazi zake zote alizopewa na Waalimu.

2. Mpangie kufanya kazi ndogo ndogo za bustani, kufua, kuku,mifugo nk usimlelee kama yai!

Labda kama una bima ya kuishi nae milele.

Mfundishe ajitegemee siku ukiondoka ghafla asitaabike sana kujua la kufanya.

3. Ongea na mtoto wako juu ya matumizi ya simu na TV mwambie huko ulaya watoto wengi hawapotezi muda, kila sekunde yao ina shughuli.

Movies na simu asilimia kubwa ni kumpoteza mwafrika na mtu mjinga.

Huwezi kufuatilia Series 400 ukawa timamu lazima kuna shida mahali katika Ubongo.

Waambie kuwa dk 1 ya jana alopoteza haitajirudia milele na kuwa kuna wakati watautamani muda wa leo na hautarudi.

4. Ongea na Mwanao juu ya masomo na malengo yake ya mbele na je yatafikiwa!

Muulize juu ya aina za marafiki zake, mwelekeze kwa upendo.

5. Mwambie mwanao dunia imevua utu na ubinadamu, mweleze juu ya Ushoga athari zake, hata na Upuuzi wa Elon Musk ili ajue achague nini duniani humu.

6.Mweleze mwanao juu ya familia yenu, wengi hawajui hata majina ya babu na bibi zao, hata wajomba na shangazi zao, ukifa ghafla ndo atapata nafasi ya kuwafahamu wanapoombwa kuwasaidia kumaliza shule, taf kipindi hiki wakawasalimie bibi na babu pia.

Mfundishe Mwanao kupika hata ugali wa mchicha wengi ni tatizo.

Kama una muda mfundishe kuendesha gari kuna siku atakuokoa utakapohitaji huduma ya haraka na huwezi kuendesha gari. Kwa mtoto aliyetimiza umri unaoruhusiwa kuendesha gari kisheria.

Mwisho mfanye mwanao awe rafiki, we ni polisi, mwanajeshi, mkuu wa shule, mkuu mkuu mkuu yeyote usipeleke ukuu/ cheo, utajiri nyumbani.

Watoto wanayo mengi wanataka kuwashirikisha tafadhali wapeni muda.

Waeleze pia kama haupo kesho unapendelea waishije au waweje.

Wafundishe matendo ya huruma hebu wapeleke vituo vya yatima,

Wazee hata waliopo jirani na Sukari kg 1 tu waongee nao utaona mabadiliko watakayokuwa nayo katika kuwaza na kutenda baada ya hapo.

Kumbuka hao watoto ni wako kwa jina ila Mungu amewapitisha kwako ili wakuzwe kuhudumia watu wengine, hata wewe unahudumia wengine katika kazi yako.

Mungu awabariki na Kuwalinda Taifa la Mungu.

Amen.

...imenukuliwa kama ilivyoandikwa na kutumwa

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom