Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #9,521
Mahakama kuu hawakuchunguza sifa za Dubai kuwa ni mwanachama wa makubaliano ya Kimataifa ya Lome na Geneva ambalo hili tu ni tosha kutengua azimio la kifisadi la bunge