New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Tangia tupate uhuru bado utetezi ni uhaba wa mvua ndiyo maana uzalishaji mdogo
 
Tulikwisha liongelea mara kwa mara maji au mvua hazihusiki kuelezea ukosefu wa umeme
 
Kwanini kiguu kwa njia kuuza gesi badala ya kuzalisha umeme hapo hapo Songo Songo?
 
Ni kheri kiza kuliko kuibua kesi mahakama za kimataifa ambako tutaishia kuwalipa matrilioni na kudhoofisha uwezo wetu wa kutatua kero zetu
 
Nchi inayotaka kujenga uchumi wa viwanda haitozi kodi kwenye nishati
 
Historia inaonyesha hakuna nchi imekuwa na uchumi wa viwanda bila unafuu kwenye nishati
 
Ukiangalia kwa makini ufisadi wa kutisha unaoendelea EWURA na REA unatokana na hizo tozo
 
Zaidi ya 75% ya miradi ya REA haijakamilika na hata iliyokamilika imelipuliwa
 
Back
Top Bottom