New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Matokeo yake wanatoa kandarasi nyingi kwa kampuni zisizo na uwezo na huwalipa hata kazi hawajafanya
 
Futa kodi zote za REA na bajeti yao ipangwe kwa mapato mengine ya serikali siyo ya hizi tozo za nishati
 
Tukifanya hivyo tutapunguza kwa kiasi kikubwa kwa malipo hewa na REA kujibebesha mizigo wasiyoweza kuibeba
 
Hakuna miundombinu mbinu yoyote ile wanayoijenga zaidi ya matumbo yao
 
Pia mishahara wanayojilipa na hawana ujuzi wa kupunguza bei ya mafuta na kuhakikisha upatikanaji wake wa uhakika ipunguzwe kwa 50%
 
Kuanzia sasa taasisi za umma wasitishwe kujipangia mishahara na marupurupu
 
VAT kwenye nishati ipunguzwe kutoka 18% hadi 12% kuwapa ahueni wenye viwanda hususani gharama za uzalishaji
 
Vitambi vya TRA, EWURA na REA ambao hawazilishi ila ni walaji viyeyuke
 
Sasa hivi kwa vile TRA, EWURA na REA malipo juu ndiyo maana wanasiasa wanarundika ndugu na majamaa wao wa karibu siyo waende kutatua kero bali waende kula
 
Pia, tume ya utumishi ipewe mamlaka ya kisheria siyo tu ya kusimamia masilahi ya taasisi zote za umma pia ipewe mamlaka ya ajira na nidhamu
 
Back
Top Bottom