New Age Paganism

Bado unajiuliza na kujijibu mwenyewe, nasubiri ueleze hiyo logic
Bado hujajibu swali.

Hata hiyo logic unaiheshimu? Ukipewa logical explanation kwa nini Mungu hayupo, utakubali Mungu hayupo?

Au utasema "The Lord works in mysterious ways, logic cannot contain him" ?
 
Vyema sana mkuu, knowledge safi kabisa hii.
 
Hapo kwenye magnetic power napo kuna jambo la msingi sana kujifunza
 
Bado hujajibu swali.

Hata hiyo logic unaiheshimu? Ukipewa logical explanation kwa nini Mungu hayupo, utakubali Mungu hayupo?

Au utasema "The Lord works in mysterious ways, logic cannot contain him" ?
Sio mysterious ways, but when God say 'Be' and it will be.

Bado nasubiri hiyo logic, eleza
 
Mifano ya maneno hayo ni:

• Do whatever you want
• Follow your heart
•You be you
• Believe in yourself
• Manifest your dreams
• My life my rules
• Do what feels right for yo

Unakubaliana na mtoa mada ?

Mtoa anabidi asiwe too judgmental
 
Sio mysterious ways, but when God say 'Be' and it will be.

Bado nasubiri hiyo logic, eleza
Sasa unapingana na mistari ya Biblia?

Ukioneshwa kwa logic Mungu hayupo, utakubali Mungu hayupo au utakataa kwa kutetea imani yako tu?
 
Nitakataa kwa kutetea imani yangu.
 
Sipo judgmental, Bali nafikisha ujumbe kwa vijana wenzangu wanao potea njia kwani ni vyema kukumbushana yanayo mpendeza Mungu
Unejuaje wanapotea ? Na wewe upo kwenye njia sahihi thibitisha.
 
Am not perfect, and nobody is perfect. Lakni Imani yangu ipo perfect na nikikosea ni mimi na sio imani yangu juu ya Mungu.
 
Je ameokoka kimwili au kiroho

Na hili ujue umeokoka ni pale utakappkufa ndo utajua kama umeenda peponi au motoni.

Huwa nashangaa kumsikia MTU anasema ameokoka while he /she still Alive.
 
Kumbe ni imani , kila jamiii ina imani zao tena tofauti kabisa na yako , umejuaje imani yako ni sahihi zaidi mpaka isahihishe imani za wengne?
 
Motoni na peponi why lakini😁
 
Kumbe ni imani , kila jamiii ina imani zao tena tofauti kabisa na yako , umejuaje imani yako ni sahihi zaidi mpaka isahihishe imani za wengne?
Kweli imani zipo tofauti, kwa ambao hawaamini katika Mungu basi bila shaka hao wamepotea hata wakijifariji na kutetea imani zao ambazo hazina uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…