Tree perspective- ni mtazamo wa kumchukilia binadamu Kama mti
Binadamu anayebidi kuwa karibu na wewe anabidi kuwa na sifa za mti
Mti Una sifa zatu kubwa
@ Oksijeni
@ kivuli
@ matunda
Oxygen -pumzi ya binadamu hupatikana zaidi anapokuwa na MTU anayemtia moyo na kumpa matuamaini hii ndo oxygen wewe unampelekea huyo kabondaksaidi (matatizo) Ila yeye anakupa oxygen kukutia moyo.
@ Kivuli- hii ni sehemu ya kupumzika hasa baada ya kuwa umechomwa na jua - hivyo binadamu anabidi kuwa ni MTU ambaye kwake waweza kwenda kupumzika huyo ndo yule MTU anakusikiliza without any judgemental haijalishi umefanya nini na kukupa insight how you can get ahead.
@ Matunda - huyo ndo yule MTU atakuunganisha kazi somewhere ,atakuinua ili ufike juu , huyu ni MTU ambaye hutoa support ili usimame. Na kuendelea kusonga mbele.
Hivyo binadamu anapokosa sifa mojawapo hapo juu huyo anakuwa anaishi Ila Hana presence na Kama hauna presence huwezi kuwa na magnetic power yoyote
Tree perspective ukiitumia vizuri utajua kuwa katika huu mti nisipopata matunda ntapata kivuli na nisipopata kivuli ntapata oxygen Ila huo mti ukikosa mambo yeti matatu basi huyo MTU mtasumbuana sana