New Age Paganism

Hakuna kipimo cha imani cha kujumuisha kila mtu ata wewe na wenzako mnao amini kitu kimoja mpo tofauti katika kujenga taswira ya kile kitu vichwani mwenu.
Ni kweli kabisa mkuu upo sahihi
 
Hapo kwenye ilimradi usivunje sheria ndipo penye msingi, fanya yote lakini usivuke mipaka na kufanya yale aliyo kataza Mungu wako.
Nazungumzia sheria za nchi. Sheria za Mungu is hard to define them as we have different beliefs and perspectives kuhusiana na mambo ya Mungu.
 
Nazungumzia sheria za nchi. Sheria za Mungu is hard to define them as we have different beliefs and perspectives kuhusiana na mambo ya Mungu.
Ok, sheria za nchi pia ni muhimu kuzingatia maana zikivunjwa ni kosa.
 
Sina hoja ya kutetea kuwa MUNGU yupo na sina hoja ya kupinga kuwa MUNGU hayupo. Kama MUNGU yupo ni yupo tu na kama hayupo sawa tu Bora niamini yupo afu nkakuta hayupo. Wala sina mda wa kupigania Imani yangu ya dini mana niliikuta na nkaifata mana km nngezaliwa familia ya dini hii nngefata uko. Wacha nisake pesa tu maisha yaende sina muda wa kupinga uislam Wala ukristo sina muda wa kupinga mtume Muhammad Wala yesu kristo Wala bikira maria kwasababu sina hoja ya kupinga kwamba hvo vitu ni uongo. NB Kila mtu na afate Imani yake vile anavoamini tu. Tusiweke sana dini mbele tukasahau kutengeneza maisha yetu saka pesa ulishe familia
 
Hivi ni lazima kila mtu awe na dini maana mnachosha sana nyie watu wa religious believers...
 
Hivi ni lazima kila mtu awe na dini maana mnachosha sana nyie watu wa religious believers...
Tunachosha? Kwani tunawabebesha mizigo? Kwani ni lazima msikilize tunayo sema?
 
NB Kila mtu na afate Imani yake vile anavoamini tu. Tusiweke sana dini mbele tukasahau kutengeneza maisha yetu saka pesa ulishe familia
Ni kweli kila mtu afanye anacho kiamini, binadamu tuna free will of choice.
 
Nayojiuliza kuhusu uwepo wa MUNGU. 1. Kwanini kuwepo dini 4000+ duniani na Kila dini Ina MUNGU wake🤔. 2. Kwanini kuwepo na matabaka mfano tajiri vs maskini, mweusi mweupe mnene mwembamba mfupi mrefu , kwann watu wote wasiwe sawa. 3. Kuna haja Gani ya kuumba kasoro za maumbile kama vile ulemavu je huyo aliyopewa ulemavu huoni kama kaonewa 🤔 ko ni mungu muonevu na mpendelevu. Kwann asiumbe binadamu wote wazima wenye viungo vyote vinavofanya kazi vizuri . Apa ndo point kuu Kuna mijitu itanijibu kiimani oooh sijui kazi yke Haina makosa mara ooo majaribu oo mapito , kvovote vile aliyeumbwa mlemavu kaonewa sana na maumivu yake sio ya kitoto ata anajiuliza kwann yeye na sio mwengne. Ww tu huwezi kumpa mwanao wa kumzaa ulemavu
 
Pia upendo wa mama na mtoto haufundishwi Wala kutengenezwa kwann uyo MUNGU kabla ya kuumba viumbe vyake asitie upendo ndani yake Yani unazaliwa unamjua MUNGU wako ni yupi na sio kufundishwa kupitia dini sijui ukristo uislam ubudha uhindu au ushinto na dini zengine kbao
 
[emoji419][emoji419]nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…