Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #121
Absolutely God is the one who can judge, nobody else can do thatOnly God can judge me.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely God is the one who can judge, nobody else can do thatOnly God can judge me.
Hakuna kipimo cha imani cha kujumuisha kila mtu ata wewe na wenzako mnao amini kitu kimoja mpo tofauti katika kujenga taswira ya kile kitu vichwani mwenu.Sawa mkuu
Ni kweli kabisa mkuu upo sahihiHakuna kipimo cha imani cha kujumuisha kila mtu ata wewe na wenzako mnao amini kitu kimoja mpo tofauti katika kujenga taswira ya kile kitu vichwani mwenu.
Nawe ni mwana Thelema sioThe cult master
Hapana, jina la huyo jamaa nilikutana nalo katika baadhi ya vitabu tu. Ndipo nikaanza kumfuatilia kwa kina na kufahamu harakati zakeNawe ni mwana Thelema sio
Nazungumzia sheria za nchi. Sheria za Mungu is hard to define them as we have different beliefs and perspectives kuhusiana na mambo ya Mungu.Hapo kwenye ilimradi usivunje sheria ndipo penye msingi, fanya yote lakini usivuke mipaka na kufanya yale aliyo kataza Mungu wako.
Ok, sheria za nchi pia ni muhimu kuzingatia maana zikivunjwa ni kosa.Nazungumzia sheria za nchi. Sheria za Mungu is hard to define them as we have different beliefs and perspectives kuhusiana na mambo ya Mungu.
Na wanaokosa je?🤔Hiyo riziki ambayo vijana wanatafuta, Inatoka kwa Mungu na hakuna anaye pata kwa ujanja wake pasipo na kibali kutoka kwa aliye juu.
Hivi ni lazima kila mtu awe na dini maana mnachosha sana nyie watu wa religious believers...Hellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo tunayaiga kutoka kwa watu wa mataifa ya mbali.
Na huyo mtu unakuta ana imani yake ya dini lakini bado anazama katika misemo hii ya kileo bila kujua misingi na lengo kuu hasa.
Mifano ya maneno hayo ni:
• Do whatever you want
• Follow your heart
•You be you
• Believe in yourself
• Manifest your dreams
• My life my rules
• Do what feels right for yo
Jesus said to all : If anyone would come after me, let him deny himself and take up his cross daily and follow me. ( Luke 9:23)
Hivyo, kama mtu umeamua kuwa muumini wa kweli basi sio vyema kubadili na kujipa mamlaka ya kuendesha na kusimamia maisha yako bila kumuelekea Bwana wako kwani yeye ndiye mwenye mamlaka makuu juu yako.
#BM
Tunachosha? Kwani tunawabebesha mizigo? Kwani ni lazima msikilize tunayo sema?Hivi ni lazima kila mtu awe na dini maana mnachosha sana nyie watu wa religious believers...
Hakuna anaye kosa, wote wanapata kwa kiwango chao.Na wanaokosa je?🤔
Ni kweli kila mtu afanye anacho kiamini, binadamu tuna free will of choice.NB Kila mtu na afate Imani yake vile anavoamini tu. Tusiweke sana dini mbele tukasahau kutengeneza maisha yetu saka pesa ulishe familia
Pia upendo wa mama na mtoto haufundishwi Wala kutengenezwa kwann uyo MUNGU kabla ya kuumba viumbe vyake asitie upendo ndani yake Yani unazaliwa unamjua MUNGU wako ni yupi na sio kufundishwa kupitia dini sijui ukristo uislam ubudha uhindu au ushinto na dini zengine kbaoNayojiuliza kuhusu uwepo wa MUNGU. 1. Kwanini kuwepo dini 4000+ duniani na Kila dini Ina MUNGU wake🤔. 2. Kwanini kuwepo na matabaka mfano tajiri vs maskini, mweusi mweupe mnene mwembamba mfupi mrefu , kwann watu wote wasiwe sawa. 3. Kuna haja Gani ya kuumba kasoro za maumbile kama vile ulemavu je huyo aliyopewa ulemavu huoni kama kaonewa 🤔 ko ni mungu muonevu na mpendelevu. Kwann asiumbe binadamu wote wazima wenye viungo vyote vinavofanya kazi vizuri . Apa ndo point kuu Kuna mijitu itanijibu kiimani oooh sijui kazi yke Haina makosa mara ooo majaribu oo mapito , kvovote vile aliyeumbwa mlemavu kaonewa sana na maumivu yake sio ya kitoto ata anajiuliza kwann yeye na sio mwengne. Ww tu huwezi kumpa mwanao wa kumzaa ulemavu
[emoji419][emoji419]nakaziaSina hoja ya kutetea kuwa MUNGU yupo na sina hoja ya kupinga kuwa MUNGU hayupo. Kama MUNGU yupo ni yupo tu na kama hayupo sawa tu Bora niamini yupo afu nkakuta hayupo. Wala sina mda wa kupigania Imani yangu ya dini mana niliikuta na nkaifata mana km nngezaliwa familia ya dini hii nngefata uko. Wacha nisake pesa tu maisha yaende sina muda wa kupinga uislam Wala ukristo sina muda wa kupinga mtume Muhammad Wala yesu kristo Wala bikira maria kwasababu sina hoja ya kupinga kwamba hvo vitu ni uongo. NB Kila mtu na afate Imani yake vile anavoamini tu. Tusiweke sana dini mbele tukasahau kutengeneza maisha yetu saka pesa ulishe familia