Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Ni kweli, lakini kumbuka shetani ana elimu kubwa kuliko mtu yoyote hapa ulimwenguni.shetani hausiki ila sisi tumemzidi shetani maana elimu zote zilitoka kwa watu wa mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, lakini kumbuka shetani ana elimu kubwa kuliko mtu yoyote hapa ulimwenguni.shetani hausiki ila sisi tumemzidi shetani maana elimu zote zilitoka kwa watu wa mungu.
Hapo kwenye ilimradi usivunje sheria ndipo penye msingi, fanya yote lakini usivuke mipaka na kufanya yale aliyo kataza Mungu wako.How? Why? To me self freedom is crucial for personal growth and fulfillment. It empowers individuals to make choices that align with their values and aspirations, leading to live maisha wanayoyataka ilimradi usivunje sheria. We live only once, lets make the most of it.
😂😂 Hata wale wanao tetea abortion pia wanasemaga hivyoMalaya wana msemo wao my body my choice
Huo unaoitwa upagani ndiyo misingi halisi ya imani katika jamii zetu.Pia mtu akijitambulisha kama mpagani basi anakuwa mtu ambaye hana misingi ya kiimani na haieleweki katika jamii zetu
Ndio Mungu kawapa riziki acha vijana wafurahie wanavotaka wao kama watatumia kungonokea, kumchangia Lisu, kubetia, kulewea hiyo ni wao...wewe sio wakili wa Mungu mpaka uite watu wapaganiHiyo riziki ambayo vijana wanatafuta, Inatoka kwa Mungu na hakuna anaye pata kwa ujanja wake pasipo na kibali kutoka kwa aliye juu.
Kweli ulikuwepo, na haikuwa njia sahihi ndipo wakaja watu na habari njema za njia ya kweli kutufikisha neno la Mungu.Huo unaoitwa upagani ndiyo misingi halisi ya imani katika jamii zetu.
Kabla ya kuja Uislamu na Ukristo miaka mia chache iliyopita, huo unaoitwa upagani ulikuwepo.
Wapagani wapo na hawatoisha, wanazidi kuwa wengi kila kona.Ndio Mungu kawapa riziki acha vijana wafurahie wanavotaka wao kama watatumia kungonokea, kumchangia Lisu, kubetia, kulewea hiyo ni wao...wewe sio wakili wa Mungu mpaka uite watu wapagani
Ujumbe nimeufikisha na hayo ni maoni yako tu ndugu msomaji.Acha watu waisi wanavyojua wao, zama za kutishana na upuuzi wa Miungu ya watu weupe zimepitwa na wakati.
Mungu hayupo na hizo habari njema ukizichambua zina matatizo mengi sana.Kweli ulikuwepo, na haikuwa njia sahihi ndipo wakaja watu na habari njema za njia ya kweli kutufikisha neno la Mungu.
Yaan unakwenda kanisani/msikitini ili ufajiriwe? Acha tu hayo majumba yenu ya ibada yabaki matupu maana kwa maandiko ya vitabu vya dini haswa ukristo, kanisa ni mtu mwenyewe sasa anayekwenda kwenye hayo mamikutano na makusanyiko sijui anatumia maandiko yapi tena zaidi ya janja janja za wachungaji kuwadanganya watu wazidi kwenda makanisan kupitia vifungu vya bible ambavyo navyo havisapoti huo uhuni.Zamani watu walikua wastahimilivu sana na walikua na vifua sana mtu anafarijiwa kanisani/msikitini lkn hamna cha maana anachopata na haoni kama ni shida, ila vijana wa saivi maisha yamekua magumu umletee porojo za utakua billionea kwa maombi?
Kaka twende taratibu kidogo.Wapagani wapo na hawatoisha, wanazidi kuwa wengi kila kona.
Sawa, kama unaona Mungu hayupo ni sawa tu huo ni mtazamo wakoMungu hayupo na hizo habari njema ukizichambua zina matatizo mengi sana.
Dini tuliletewa mkuuHellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo tunayaiga kutoka kwa watu wa mataifa ya mbali.
Na huyo mtu unakuta ana imani yake ya dini lakini bado anazama katika misemo hii ya kileo bila kujua misingi na lengo kuu hasa.
Mifano ya maneno hayo ni:
• Do whatever you want
• Follow your heart
•You be you
• Believe in yourself
• Manifest your dreams
• My life my rules
• Do what feels right for yo
Jesus said to all : If anyone would come after me, let him deny himself and take up his cross daily and follow me. ( Luke 9:23)
Hivyo, kama mtu umeamua kuwa muumini wa kweli basi sio vyema kubadili na kujipa mamlaka ya kuendesha na kusimamia maisha yako bila kumuelekea Bwana wako kwani yeye ndiye mwenye mamlaka makuu juu yako.
Kwasababu wapo watu walio amua kuwa wapagani.Kaka twende taratibu kidogo.
Kwanini kuna wapagani?
Ohooo! 🙌🙌🙌uwe na wakati mwemaKwasababu wapo watu walio amua kuwa wapagani.
Kweli tuliletewa, na tunapaswa kushukuru kwa kufikishwa njia sahihi.Dini tuliletewa mkuu
Uwe na wakati mwema pia MkuuOhooo! 🙌🙌🙌uwe na wakati mwema
Huo si mtazamo wangu tu, hiyo ni logic.Sawa, kama unaona Mungu hayupo ni sawa tu huo ni mtazamo wako