New atcl you cant compare with precission

Hivi mbona watu mko in a negative side??? Shirika limerudi angani, ndege mpya, nauli bei safi, huduma nzuri sasa mimi sijui kelele yenu ni ya nini? Mlitaka lisirudi? Ili m comment nini sasa? Kukodi ndege ni kitu cha kawaida kabisa katika airline industry!!!!! Halooooooooo.
 
1st June 2012 20:48
Hiyo siku ulipo post hii comment sijui kama Dr. Mwakyembe, waziri wa uchukuzi alikuwa keshaongelea mkataba tata wa hiyo Boeing pamoja na uniform za US $50,000!

Nami narudia tena: 'Funguka"
 
Nachukia sana zile Sandwich za Precision Air mie, sijui ATCL wana connection yoyote kwa International Airlines? Maana mie nikitoka Addis Ababa kwenda Mwanza lazima nakutana na Precision Air hata Nairobi nakutana nao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…