Nilikua nacheza x zamaniAfu user name yako sijaelewa.
Ulishawahi kuwa tapeli?
xtaper ndo nini? Ex tapeli?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji45][emoji45]
Edit hio, huoni majani yalivyopinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi simooooNi hensam ndio lakini wa kufunga hivi shati wanavaaga vile viatu kama za wanafanya kazi wa Tanesco
Sipati picha, Ila tukiuno twembamba kwenye Yale mambo tuko poa sanaSerious. Afu tuviuno twembambaaa yaani.
Hahaha pumping action yake ni kubwa.. tena anauwezo wa kupiga tako nyingi per time compared na wenye viuno vineneSipati picha, Ila tukiuno twembamba kwenye Yale mambo tuko poa sana
[emoji23][emoji23]Moyoni akijiambja daaa kwann nilificjua sura yangu uwiiii... huku akikimbia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ya kiuno tafadhaliHahaha pumping action yake ni kubwa.. tena anauwezo wa kupiga tako nyingi per time compared na wenye viuno vinene
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mkuu. Nimelinote hilosio faceboook humu wala insta na whatsapp,comment na post hakikisha zisikugarimu mbele
Wapi imeandikwa? Mi nimetaka picha ya kiuno kilichovalishwa suruali na mkanda
Mr handsom man
wee!Kumbe jf kuna mahandsome bwana.
Haya mkuu tumekuona.
sasa ukiniona mm s
ukiniona mm si utazimia nilivo Hb mpaka napewa likizo kazini
Mkuu umepoa poa sana jitahidi kuchangamka.
Yaani inaonyesha siyo kwenye picha tuu ila hadi kwenye uhalisia umepooza sana.
Halafu habari za kufunga vifungo hadi kidevuni waachie wachungaji.
Pia hudhuria Jim kifua hicho kitune tune maana mwili hauendani na sura kabisa.