New Avatar alert: My real photo

New Avatar alert: My real photo

Mkuu umepoa poa sana jitahidi kuchangamka.
Yaani inaonyesha siyo kwenye picha tuu ila hadi kwenye uhalisia umepooza sana.
Halafu habari za kufunga vifungo hadi kidevuni waachie wachungaji.
Pia hudhuria Jim kifua hicho kitune tune maana mwili hauendani na sura kabisa.
 
hhahahaha nilikumiss ww mdada haha ht mm nashangaa kufunga hvyo hilo shirt jaman.lol
 
Back
Top Bottom